Mashine za Uwakala NMB & CRDB zinahitajika Dodoma

Mashine za Uwakala NMB & CRDB zinahitajika Dodoma

Mfukutuzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
239
Reaction score
175
Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara.

Location: Dodoma
 
Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara.
Location: Dodoma
Siku hizi n ngumu sana kupatikana....bora CRDB ina nafuuu kuipata kuliko NMB
 
Kampuni zote zinahama kwenda application.
Tujifunze kuhama
 
Kampuni zote zinahama kwenda application.
Tujifunze kuhama
Asante kwa mtazamo
Vipi mchakato wa kuunganishwa hata hizo applications, umerahisishwa au ni mgumu kama huu huu wa kutafuta mashine?
 
Back
Top Bottom