Mfukutuzi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 239 Reaction score 175 Jan 12, 2023 #1 Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara. Location: Dodoma
Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara. Location: Dodoma
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,020 Reaction score 3,309 Jan 12, 2023 #2 Mfukutuzi said: Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara. Location: Dodoma Click to expand... Siku hizi n ngumu sana kupatikana....bora CRDB ina nafuuu kuipata kuliko NMB
Mfukutuzi said: Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara. Location: Dodoma Click to expand... Siku hizi n ngumu sana kupatikana....bora CRDB ina nafuuu kuipata kuliko NMB
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jan 12, 2023 #3 Kampuni zote zinahama kwenda application. Tujifunze kuhama
Exile JF-Expert Member Joined Feb 21, 2021 Posts 1,477 Reaction score 3,642 Jan 12, 2023 #4 HIMARS said: Kampuni zote zinahama kwenda application. Tujifunze kuhama Click to expand... Kweli ila application zinazingua balaaa +wateja kugoma unakuta unapokea kamisheni ndogo sana
HIMARS said: Kampuni zote zinahama kwenda application. Tujifunze kuhama Click to expand... Kweli ila application zinazingua balaaa +wateja kugoma unakuta unapokea kamisheni ndogo sana
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jan 12, 2023 #5 Mtoto wa mama mkwe said: Kweli ila application zinazingua balaaa +wateja kugoma unakuta unapokea kamisheni ndogo sana Click to expand... Inabidi mzoee tu maana hizo mashine wataanza ziphase out mdogomdogo
Mtoto wa mama mkwe said: Kweli ila application zinazingua balaaa +wateja kugoma unakuta unapokea kamisheni ndogo sana Click to expand... Inabidi mzoee tu maana hizo mashine wataanza ziphase out mdogomdogo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 12, 2023 #6 Ngoja waje kukupa muongozo...
Mfukutuzi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 239 Reaction score 175 Jan 12, 2023 Thread starter #7 HIMARS said: Kampuni zote zinahama kwenda application. Tujifunze kuhama Click to expand... Asante kwa mtazamo Vipi mchakato wa kuunganishwa hata hizo applications, umerahisishwa au ni mgumu kama huu huu wa kutafuta mashine?
HIMARS said: Kampuni zote zinahama kwenda application. Tujifunze kuhama Click to expand... Asante kwa mtazamo Vipi mchakato wa kuunganishwa hata hizo applications, umerahisishwa au ni mgumu kama huu huu wa kutafuta mashine?