Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Binafsi najua kwamba kuna chnagamoto ya Korona ila hata kabla ya hapo bado changamoto zilikuwepo.
Tuyashauri mashirika ya ndege likiwemo la kwetu hapa nyumbani
Ushauri wangu;
1. Natamani mashirika ya ndege kwanza yajenge imani Nyumbani. Namaanishe Yafanye kazi kwenye route zenye uhakika na wasiahirishe safari
2. waweke bei rafiki kabisa kwa route za ndani ikiwa ni kujihakikishia kusafiri kila siku na sio kuweka faida kubwa na kukosa abiria na hivyo kufanya ndege zilale
3. Wawe na watu wa marketing wabunifu (Service marketing) na sio kucoy kila kitu kwa Nchi zilizoendelea ambazo tunatofautiana sana kiuchumi na kimtazamo
4. Waachane na mfumo wa kucopy kwa kutoa ticketi chache za promotion na kufikiri ndio model pekee ya flight promotion kwa abiria
5. Mashirika yafanye kazi kibiashara na sio kisiasa. Namaanisha hakuna haja ya kupeleka ndege ya abiria 150 mahali ambapo abiria ni chini ya 1/3
6. wakani wa miezi isiyo na biashaya ndege zisafiri kwa maginal profit badala ya kuziacha zilale; kulaza ndege ni gharama pia
7. Watu wa marketing wawe time consious kutoa maamuzi, ukijaribu route wiki mbili hailipi cancel route sio unaendesha route ya international kwa miezi kwa hasara ya mabilioni
8. Wajifunze kwenye mashirika ya simu walivyo wabunifu na marketing strategies zinazokwenda na wakati sio copy paste