Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
TAKUKURU inafaa kuwa kitengo tu chini ya Jeshi la Polisi.Kuna zimwi linaitwa takukuru, sijui Kwa nini mpaka Leo lipo!
Sumatra ilivunjwa ikapatikana latra ambayo inasimamia masuala ya usafiri wa nchi kavu then tasac ndo inasimamia masuala ya usafiri wa majini(kwenye maji) [emoji38] kwahiyo hakuna taasisi inayoitwa sumatra kwa sasaLATRA na SUMATRA
TARURA na TANROADS
Uko sahihi kabisa.Sumatra ilivunjwa ikapatikana latra ambayo inasimamia masuala ya usafiri wa nchi kavu then tasac ndo inasimamia masuala ya usafiri wa majini(kwenye maji) [emoji38] kwahiyo hakuna taasisi inayoitwa sumatra kwa sasa
Tungeanzia hapa DC & DED, tuwe na DED Tu Kwa wilayaniWakati serikali ikiendelea na zoezi la kuunganisha na kufuta baadhi ya Taasisi na Mashirika ya Umma, nashauri tutoe maoni na mapendekezo juu ya mashirika na taasisi zinazostahiili kuunganishwa pamoja na zile zinazostahili kufutwa.
Nia na madumuni ni kuishauri serikali ili isije kufanya makosa(kama hawatafuata ushauri wa wadau) na pia tuwe na haki ya kuja kuwakosoa huko mbeleni iwapo watafanya makosa katika huu mchakato.
Pia, wenye utaalamu/ufahamu, watupe faida na hasara za jumla za zoezi hili zima pamoja na hasara na faida za kuunganisha na hata kufuta kabisa baadhi ya taasisi na mashirika.
Karibuni.
Nafikiri kabla ilikuwa kitu kimoja baadaye wakagawa kuwa LATRA NA TASACLatra na Sumatra kwann wameachwa
TMDA nahisi inaendana na TBSTMDA na NIMRI pia wangeunganishwa tu. Mambo yasiwe mengi.