Night shadow
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 574
- 1,098
Mimi si mtaalamu sana wa mambo haya,ndo mana napenda kuuliza maswali machache juu ya mashirika haya.
Tayari nishasikia machache kuhusu CIA,MOSSAD na hapa kwetu TISS.
Ningependa kujua mashirika haya huwajibika kwa nani? je ni rais? ama kitengo gani katika serikali? na jee uhusiano wa vitengo hivi pamoja na majeshi ya nchi husika huwaje?
Na jee vitengo hivi huwa havipenyezi watu wake katika majeshi? nakama hupenyeza kwanini baadhi ya serikali hupinduliwa wakati vitengo hivi vipo?
KAMA WATU MSIOJULIKANA MTAUDHIKA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE..,IM SORRY.