Mashirika ya Ujasusi ya Urusi yana nguvu sana kwa sababu ya kukabiliana na mshirika ya ujasusi makubwa hapa dunianai kwa wakati mmoja na hata jeshi

Hivi unajua maana ya shirika la kijasusi,na taarifa ya mwezi huu mwanzoni ya umoja wa mataifa ndo inasema hivyo kuwa Pakistan ni namba moja

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Kama Pakistan haipo orodha ni batili

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 

Acha stori za karne ya 20, hii ni karne ya 21 mzee.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acha stori za karne ya 20, hii ni karne ya 21 mzee.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ha ha ha haa ,mie nimejaribu kuongea facts za enzi hizo na za sasa,ki ukweli usalama wa Taifa wa Tanzania tulitisha sana, na kwa kawaida maendeleo ni kwenda mbele nadhani sasa watakua wapo juu sana ila sera za ndani wanaburuzwa na wanasiasa nothing else
 

Hongera kwa kushabikia Simba. Mie naskia imeshinda japo sijui ilicheza na nani na magoli mangapi. Mie ni mpenzi wa Simba pia. Japo sipendi siasa za soka.

Point yangu ipo hapo kwenye "Kushindana na Wengi".
Hitler nimemsoma in details naweza kukiri Ujerumani ya Hitler ilikua very powerful kuliko Urusi ya wakati ule.

Kuhusu KGB, ni lazima tukiri kua hawakua peke yao, kama tunavyotafsiri. Falsafa ya warusi kijasusi, ndiyo iliyofeli kiuchumi na kiushawishi na ki propaganda.
Walifanikiwa kujenga silaha nyingi za nuclear waka ignore Uchumi wao.

Utaona kua nchi za ulaya mashariki ziliishia kua masikini. Wakati za ulaya magharibi zilitajirika. Utaona kua

China walipoamua kufuata falsafa yao peke yao dhidi ya ile ya Russia wameweza kuibuka washindi kiuchumi huku kaka zao warusi wakibaki nyuma yao.

Putin ya sasa inaitegemea China kwenye hii vita ya kiuchumi. Kama mbadala wa kuikabili USA na washirika wake.

USA ilikua inakuja kuleta madhara kwa Russia ya Putin mpaka pale Obama aliposhindwa kumuweka Hilary Clinton madarakani kuendeleza vita yake.

Trump amebadilisha msimamo wa USA kuhusu Russia. Trump alikua tayari Kuiua NATO jambo ambalo wamemzuia. Trump aliwapinga wazungu kua akitaka vikwazo dhidi ya Russia Vikomeshwe.

Putin anafahamika kufurahia ushindi wa Trump na kutaka awe Raisi tangu mwanzo, kwasababu mtazamo wa Trump ulikua unaondoa Hatari ile warusi walikua wanakabiliana nayo ya kuangushwa hapa duniani.
Kwa namna fulani zimeshatolewa tuhuma kua Urusi iliingilia uchaguzi wa USA. Taarifa hizi sio za kupuuzwa.

Russia walijaribu kumuua jasusi wao na bintiye wakiwa UK. Na hapa walizorotesha uhusiano wao na UK. Maana walibainika.

Swala la Syria, limeiweka Russia salama kutokana na ajenda ya Trump. Ya kujali masuala ya Amerika na kuachana na siasa za Nje ya USA.Lakini linaweza kua swala la muda mfupi mpaka Trump atakapoondoka madarakani. Kisha akaingia Mdemokratiki atakayeiungnisha Europe na USA tena.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Pakistan haipo orodha ni batili

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Ha ha haa Mkuu unajuaje labda orodha huwa inabadilika mwaka hadi mwaki kutokana na mission ambazo mashirika haya walizotekeleza na kufaulu?,pengine labda kwa miaka hii hawajafanya operation yeyote ya maana?
 
Sawa Mkuu umeanalyse vizuri sana,sintakujibu maan hatushindani,na isitoshe umeandika hoja nzuri, bali nitachangia hii komenti yako ,na nitachangia nikiwa nimetulia ,maana umeweka nondo zilizoenda shule,hivyo natakiwa niwe nimetulia,wacha kwanza nisherehekee ushindi wa simba,najua wewe ni wale washabiki wa simba waliokua wamekata tamaa kushabikia timu yao kwa sababu ya kufanya vibaya kwa miaka mingi ktk inernational tournament,wacha sisi wenzio vichwa ngumu tufurahai hata kama ni kwa muda mfupi tu.
 
Nasikia warusi hawapendi kuchanganya damu na mataifa mengine hasa sisi waafrica! Je? Kuna ukweli wowote kuhusu hili.
Nalog off
 
Thanks Bro!
 
Hakuna shirika la kijasusi lenye nguvu kama la Pakistan

Sent using Jamii Forums mobile app
Walizidiwa na CIA kwenye ishu ya Osama maana CIA walifanya mambo mengi sana pale Abottabadi( Pakstani) katika kukusanya intelligence kujilisha Kama Osama yupo pale,walijua Kila kitu Kama idadi ya watu waliopo ndani ya ile nyumba,mifugo Kama kondoo iliyokuwemo,vendor aliyekuwa anawauzia chakula,wageni waliokuwa wanaingia pale. Na nifedheha Sana kwa intelligence community yeyote duniani kuruhusu operation Kama ile ya Osama kufanyika katika ardhi yako. Na Kama ile helicopter mojawapo KUPATA hitilafu na kuidondoka na baadae makomando wa Marekani kuilipua ili kuzuia maadui kuiba teknolojia Mmarekani ALIPANGA kulikana kaabsa Lile tukio
 
Shirika la Kijasusi linaimarika kama halitaambana na mambo ya kisiasa siasa ya nchi husika - hiki kinatakiwa kiwe chombo huru wa mustakabali na uhai wa taifa husika.

Sasa kwa nchi za kiafriika mashirika haya yanakuwa matawi ya vyama vinavyotawala - hapa ndipo tatizo lilipo..
 
Ni kweli kabisa ila kwenye nyanja ya Uchumi bado sana,maana wanafanyiwa sana figisu na mee mzima US ili wasiinuke kiuchumi,maana wakiwa na uchumi imara ana mkubwa sana basi ujue nguvu na utawala utahamia EAST.
Uongozi mbovu wa Russia ndio unafanya uchumi wao kudumaa.
 
Mkuu imekuaje jana mmevamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…