Mashirika ya umoja wa mataifa duniani

Mashirika ya umoja wa mataifa duniani

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
293
Reaction score
58
Ndugu Wana Jamiiforums Nina Ya Moyoni Kuhusu.

Umoja Wa Mataifa Nini Na Lengo Lake Nini? Na Nani Mwanzilishi Wa Umoja Wa Mataifa? Na Kwanini Nchi Nyingi Karibia Zote Ni Mwanachama Wa Umoja Wa Mataifa?

Na Kwanini Wao Ndo Watunge Sheria Kwa Nchi Mwanachama? Na Kwanini Walianzisha Mashirika Madogo Madogo Ya Umoja Wa Mataifa Kama Shirika La Wakimbizi Duniani, Shirika La Benki Duniani, Shirika La Afya Duniani, Na Mashirika Mengine Atakae Yakumbuka Hayataje.

Na Kwanini Makao Makuu Yawe Marekani? Kwa Nini Mahakama Kuu Iwepo? Kwani Hazifawi Kila Mwanachama Wa Umoja Wa Mataifa Kuwa Na Mahakama Kuu Za Kwao Nchini Mwao? Na Kwanini Vita VYa Kwanza Vya Dunia Na Vya Pili?

Chanzo: Mwanajamiforum FALSAFA A.K.A ANTI-NEW WORLD ORDER.

MNAKARIBISHWA NYOTE.
 
Rejea historia form 3 & 4...jinsi ubepari ulivokua na kufikia hayo uliyouliza
 
Back
Top Bottom