Wana Jf Napenda kuleta kwenu wazo langu la muda mrefu, nimekua nalo kwa muda sasa nalo ni je kwa hivi sasa ninaweza kuanza kuandaa Mashitaka dhidi ya Chama kinachoondoka madarakani (ccm) watendaji wa serikali awamu ya pili awamu ya tatu na hii inayoondoka madarakani (baadhi wenye tuhumu kuntu) na wale wote ambao wame liletea taifa hili umasikini KWA makusudi. AU nitakuwa nimefanya mapema? ushauli tafadhari