Mashitaka dhidi ya Serkali

Mashitaka dhidi ya Serkali

Nomile

Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
99
Reaction score
122
Wana Jf Napenda kuleta kwenu wazo langu la muda mrefu, nimekua nalo kwa muda sasa nalo ni je kwa hivi sasa ninaweza kuanza kuandaa Mashitaka dhidi ya Chama kinachoondoka madarakani (ccm) watendaji wa serikali awamu ya pili awamu ya tatu na hii inayoondoka madarakani (baadhi wenye tuhumu kuntu) na wale wote ambao wame liletea taifa hili umasikini KWA makusudi. AU nitakuwa nimefanya mapema? ushauli tafadhari
 
Kama Mh. Mramba na Daniel Yona wapo mahakamani, hata hawa waliopo sasa ni lazima waswekwe lupango. Tena kwa kuanzisha Mahakama ya Mafisadi na Wezi wa Rasilimali za waTanganyika. Kumbuka pia hata IPTL kuletwa Tanzania ni matokeo ya baadhi ya viongozi walioko madarakani kwenda Indonesia na kurudi na maBenzi huku wakiwa wamesha saini mikataba mibovu na hatima yake ni waTanganyika kubebeshwa mzigo wa hasara.

Kwa maana nyingine ni kwamba, baadhi ya viongozi waliopo madarakani kwa sasa, ni waasisi wa ufisadi na kusaini mikataba mibovu kwa manufaa yao.

LAZIMA WATURUDISHIE PESA ZETU.
 
Wana Jf Napenda kuleta kwenu wazo langu la muda mrefu, nimekua nalo kwa muda sasa nalo ni je kwa hivi sasa ninaweza kuanza kuandaa Mashitaka dhidi ya Chama kinachoondoka madarakani (ccm) watendaji wa serikali awamu ya pili awamu ya tatu na hii inayoondoka madarakani (baadhi wenye tuhumu kuntu) na wale wote ambao wame liletea taifa hili umasikini KWA makusudi. AU nitakuwa nimefanya mapema? ushauli tafadhari
tafadhari taja wale ambao kwanza wataingizwa lupango hata bila kuhojiwa kwanza kwa !!
1.
2.
....
 
>Umewahi sana mpendwa.

Nakumbuka Dr.Slaa alilisema hili wakati wa kampeni 2010.
Na nina apa kuwa 2015 nitampa kura yangu yeyote atakayeahidi kufanya hivyo.

(Note:MABADILIKO NI LAZIMA)
 
Wezi wote lazima washtakiwe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom