Mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu

Lior

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
1,617
Reaction score
3,697
MAMA mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti. Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita.

Mkuu wa mashitaka Bi Kristina Ehrenborg-Staffas ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa bibi huyo anakabiliwa na mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu.

Lakini mama huyo amejitetea akisema haoni kama amefanya kosa kwani anafurahi kufanya mapenzi na maiti. Wakati alipokamatwa alipatikana akiwa na mifupa ya binadamu, mafuvu na viungo vyengine.
****
Sidhani kama kuna kiumbe asietabirika kama binadamu.
 
Labda Marehemu kabla ya kufa alitumia dawa ya mvuto wa mapenzi madem wanamfata hadi mbele ya haki
Aiseee, hiyo dawa kiboko, miaka 50 bado ina nguvu
 
Dah Wazungu kuna muda wanaonekana ni wetu wenye akil sana ila kuna muda ndio wanakuwa wapumbavu sana
 
Halafu kuna watu wanahangaika kupaka vumbi Congo mara kunywa viagra mara energy drinks na panadol ili mradi tu kuwaridhisha hawa viumbe.
 
Halafu kuna watu wanahangaika kupaka vumbi Congo mara kunywa viagra mara energy drinks na panadol ili mradi tu kuwaridhisha hawa viumbe.
🤣🤣🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…