Mashoga acheni ujinga njooni tusaidiane

Mkuu kuna watu utafikiri wamerogwa kuna jamaa alikuwa boss vodacom na anamke kabisa cha ajabu kuna shoga moja maarufu sana mjini akawa ndio mchepuko wake kila kitu yule choko akawa anapewa na mke akatelekezwa utafikiri alikuwa anapewa dawa.
alizidiwa na utamu wa chokoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nilpopewa join instruction nikakuta kosa nojawapo la kukufukuzisha shule ni mapenzi ya jinsia moja au ushoga sikuelewa kua kumbe hadi boarding same sex school mambo yapo. Vizuri mtoto aende boarding school akiwa form five at least anaelewa mambo kuliko form njuka ndo kwanza hata kuoga hajui anaenda kujitegemea shule
 
Tena hizi shule za jinsia moja ni jiko la kupika hao viumbe wachafu.....yaani ukimpeleka mtoto huko kama atarudi salama mshukuru Mungu sasa hivi hizo shule zinapika kwa kasi hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…