kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
Afadhali shule za kata zimekua mkombozi kupunguza watoto wadogo kwenda boarding wakiwa wadogoTena hizi shule za jinsia moja ni jiko la kupika hao viumbe wachafu.....yaani ukimpeleka mtoto huko kama atarudi salama mshukuru Mungu sasa hivi hizo shule zinapika kwa kasi hawa watu.