Lakini siamini kuwa ati mtu akilawitiwa atageuka shoga kama Sipo alivyoonesha kwenye post yake ya kwanza kwenye hii thread. Nina ushahidi.
- Ukifuatilia vijana wengi wanaofungwa magerezani huwa wanalawitiwa (kwa hiari au kwa kubakwa), lakini wakitoka humo hawaendelei na tabia hiyo.Someni hapa: http://www.stormfront.org/truth_at_last/raje/memories.html
- Ninafahamu watu waliowahi kulawitiwa lakini leo hii sio mashoga.
- Ninawafahamu watu waliokuwa wanalawitiana kwa zamu shuleni walipokuwa wadogo, tena pale Umbwe waliwahi kufumaniwa kwenye miti ya kahawa (mibuni) wakapewa suspension na kurudi na wazazi, wakachapwa viboko hadharani. Mmoja tunafanya kazi ofisi jirani, na hana tabia za kishoga hata moja.
Kwa hiyo tabia ya kishoga ni kuendekeza tu, mtu yeyote akitokea kufanyiwa liwati kwa mazingira yoyote yale anaweza kujitoa humo na kuendesha maisha yake kawaida bila kuwa 'mchicha mwiba', 'shoga', 'anti' nk.
Na upungufu wa nguvu za kiume hautokani na ushoga, ndio maana bado kuna watu wanalawitiwa na bado wanamudu. Yapo mashoga ambayo yanajiita 'versatile', yaani yanalawitiwa na pia yanalawiti! Upungufu aliokuwa nao huyo aliyetajwa na Sipo huenda angekuwa nao tu hata kama angekuwa hajawahi kulawitiwa. Kuna watu wengi tu wana upungufu wa nguvu za kiume lakini hawajawahi kulawitiwa hata mara moja.
Kukosa nguvu za kiume si 'tiketi' au 'ruhusa' au uhalalisho wa mtu kugeuka shoga. Haya ya ushoga ni mambo tu watu wanaendekeza, na mfano uliotolewa na Sipo ni typical kabisa ya uendekezaji. Kama shida ilikuwa ni hela, tulitegemea baada ya kupata hizo milioni 8 za huyo kigogo angeacha basi. Kama si uchangudoa wa kishoga ni nini? Huyo ni CD tu!
Ushoga ni tatizo la kitabia, na wala si la maumbile. Ni kitu watu wanajifunza kama mtu anavyojifunza tu sarakasi au mchezo mwingine, ndio maana kwenye hii kitu tunawalaumu mashoga wenyewe kwa kujiingiza humo. Ni tabia mbaya tu sawa na uteja wa unga, udokozi, nk.