MwalimuZawadi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2007
- 643
- 68
MUNGU atusaidie tuepukane na janga ili maana hukumu yake nu kubwa na ya jabu hapa duniani na jehanamu
Unataka kutuambia kuwa kila jambo mradi mtu kaamua kufanya bila kulazimishwa ni halal... kuuwa watu wenye ugonjwa wa ngozi (zeruzeru), ruksa, kwiba, ukahaba, ufisadi na mengine mengi yoote Mungu karuhusu na sisi hatuna wajibu wa kuyakemea...!?Mkuu Sipo
Mungu hawezi kupisha vitendo tunavyofanya kwa hiari yetu. Tusimchanganye Mungu humu ndio maana anaacha watu wafanye watakavyo. Mungu yeye ni kama wewe 'SIPO' endeleeni kubanjuka
Unataka kutuambia kuwa kila jambo mradi mtu kaamua kufanya bila kulazimishwa ni halal... kuuwa watu wenye ugonjwa wa ngozi (zeruzeru), ruksa, kwiba, ukahaba, ufisadi na mengine mengi yoote Mungu karuhusu na sisi hatuna wajibu wa kuyakemea...!?
Zawadi! Hata uko kunakoitwa kumeendelea na raiya wake wako huru, pia kuna kikomo cha demokrasia na uhuru, hakuna nchi duniani ambayo imewapa 100% raiya zake kuwa huru kujiamulia na kutenda wapendavyo.Mkuu X-Paster
Wakati tunakubali demokrasia haikuwa ya siasa peke yake, ni demokrasia ya kila kitu. Na Tanzania ni mabingwa wa cut-&-paste. Tulikubali biashara holela na imekuwa holela kwelikweli, sasa leo tunakemea nini? Hayo uliyoyataja yote ni matokeo ya uhuru holela. Ni Mungu alituagiza tukubali uhuru holela? aaaaaaaggggggggggrrrrrrrhhhhhhh!!!!
Ni huruma ya kweli toka ndani ya moyo wangu na wala si vinginevyo MkuuHii habari niliwahi kuisikia kabla, ila ilkuwa kenye format tofauti kidogo, anyway... Kwa kuwa ulizungumza naye na kumuonea huruma (Kama si huruma za mamba) je ulimshauri kitu huyo schoolmate wako!?
Huu mchango wako ni wa muhimu sana mhe.Mkuu Sipo, hili tatizo sio tu kwa mayatima. Hili tatizo kimsingi litakuwa kubwa sana kwa jamii zetu hizi za kimasikini. Hebu fikiria wewe umejenga au umepanga nyumba yenye vyumba vitatu (waati mwingine sio umasikini bali fashion). Chumba kimoja cha kwako na mkeo, kimoja cha watoto wa kiume na kingine cha watoto wa kike. Tatizo linakuja pale anapokuja mgeni. Mara nyingi akija mgeni wa kiume huwa familia nyingi zinakuwa na tabia ya kumkaribisha kwenye chumba cha watoto wa kiume. Sasa hebu jaribu kufikiria, iwapo huyu mgeni ni basha na mwanao wakiume huwa analala peke yake chumbani na kuna kitanda kimoja tu, nini kitatokea hupo chumbani utakapochanganya chui na mwanakondoo bila wewe mwenyewe kujua?
Vivyo hivyo kwa watoto wa kike. Achilia mbali mgeni, mara nyingi huwa tunawaweka chumba kimoja na wahudumu wa nyumba (house girls). Je kama huyo mhudumu ni msagaji na analala chumba kimoja na mtoto wako nini kinaendelea huko? Watoto wengi wameathirika kwa njia hii. Wewe unaamini kuwa huyo mgeni ni shemeji yako (tumbo moja na mumeo/mkeo) kumbe ni simba mla watu
Jamani tuwe waangalifu, umasikini wetu usije ukatupeleka pabaya. Kama ikibidi kuchanganya watoto na watu wazima, tujaribu kuwa tunafanya uchunguzi wa mara kwa mara ili kuzuia kabla tabia haijaota mizizi. Vinginevyo,mazoea haya inabidi tuyaache mara moja.
Zawadi! Hata uko kunakoitwa kumeendelea na raiya wake wako huru, pia kuna kikomo cha demokrasia na uhuru, hakuna nchi duniani ambayo imewapa 100% raiya zake kuwa huru kujiamulia na kutenda wapendavyo.
M'Mungu alishatupa akili na hikma, ili tupate kutawala maisha yenu. Sasa tusipotumia akili zetu kwa faida nzuri na yenye kukubalika kijamii, kiutamaduni na mila zetu, tutakuwa zaidi ya wanyama mwitu.
Juwa kuwa kila nchi ina kanuni na sheria zake, na hili ndio muhimu. Ushoga na usagaji haukubariki katika sheria za nchi hii.
Watanzania walipiga kura ya maoni, kukubali ama ama kukataa sheria ya vyama vingi. Matokeo yake wale ambao hawakutaka kuanzishwa kwa vyama vingi wakashinda, lakini Rais wa wakati ule Alhajj Ali Hassan Mwinyi na serikali yake wakapitisha sheria ya vyama vingi.
Je ndio demokrasia imefuatwa au ilidhurumiwa!?
Suwala hapo ni hoja zako ulizotaka kwenda kuzimwaga kwenye ilo tamasha, ajabu ni kwamba simulizi ya mtu mmoja (schoolmate) ikakukata maini kiasi ukashindwa kuwakilisha kile kilichokuwa moyoni mwako.Ni huruma ya kweli toka ndani ya moyo wangu na wala si vinginevyo Mkuu
Nimekuelewa sana Mwalimu, na wala mimi si kama namlaumu M'Mungu kwa vitendo vyetu... yeye alishatupa muongozo tayari na alisha tuhabarisha nini cha kufanya na nini cha kuachana nacho... Hapa ni hiyari zetu kwa kweli na wala mimi sibishani na wewe, nadhani tumeshindwa kuelewana sehemu ndogo sana...X-Paster
Sitaki kubishana sana na wewe ila hiyo hekima unayoitaja wewe ndio inayoongoza maovu yote Tanzania sasa hivi. Hekima ya kitanzania ni kufanya kila lililo ovu na asiye na hekima basi ni yule anayepinga hekima ya uovu. Ndio maana namtoa Mungu kabisa katika mambo haya.
Pia nimeita uhuru holela, ambao sio uhuru tena. Kuhusu wachache wapewe kwenye vyama vingi, haikuwa kwa kupenda kwa Alhaji Mwinyi, alishinikizwa na IMF and Benki ya Dunia kwa kuwa mambo eti yalikuwa magumu tukakubali pia kumbuka CCM ilikwenda kuangamiza Azimio la Arusha kule Zanzibar ili uhuru holela utekelezeke vizuri. Sasa hapo kuna kumlaumu Mungu kweli? Hao watawala waliofikiri kuwa kutakuwa na soko huria (soko la hovyo hovyo) la bidhaa walitegemea ni soko la uranium,chumvi na maandazi? Ni soko la kila kitu ndio maana sasa hivi ushoga na usagaji unaonekana kama bidhaa halali sokoni.
Please count God out kweye hekima ya kitanzania
ila kilichonishtua ni pale shoga mmoja aliposema ameshatembea na kiongozi mmoja wa dini ambaye anasimama mbele ya waumini na kutoa neno takatifu
Jamani, jamani, jamani jamani, dunia (Tanzania) inaenda wapi hii Mungu wangu
mtu yeyote akitokea kufanyiwa liwati kwa mazingira yoyote yale
tumwombe sana M'MUNGU atusamehe makosa yetu na kuwalinda watoto wetu sio wa kiume tu bali hata wa kike katika kila hali"Je tuwafiche wapi watoto wetu wa kiume" Rose Muhando. Naona tujadili jinsi ya kupukika na hii hali kweli ni threat kwa wazazi.
Mkuu Mtu BLakini siamini kuwa ati mtu akilawitiwa atageuka shoga kama Sipo alivyoonesha kwenye post yake ya kwanza kwenye hii thread. Nina ushahidi.
Kwa hiyo tabia ya kishoga ni kuendekeza tu, mtu yeyote akitokea kufanyiwa liwati kwa mazingira yoyote yale anaweza kujitoa humo na kuendesha maisha yake kawaida bila kuwa 'mchicha mwiba', 'shoga', 'anti' nk.
- Ukifuatilia vijana wengi wanaofungwa magerezani huwa wanalawitiwa (kwa hiari au kwa kubakwa), lakini wakitoka humo hawaendelei na tabia hiyo.Someni hapa: http://www.stormfront.org/truth_at_last/raje/memories.html
- Ninafahamu watu waliowahi kulawitiwa lakini leo hii sio mashoga.
- Ninawafahamu watu waliokuwa wanalawitiana kwa zamu shuleni walipokuwa wadogo, tena pale Umbwe waliwahi kufumaniwa kwenye miti ya kahawa (mibuni) wakapewa suspension na kurudi na wazazi, wakachapwa viboko hadharani. Mmoja tunafanya kazi ofisi jirani, na hana tabia za kishoga hata moja.
Na upungufu wa nguvu za kiume hautokani na ushoga, ndio maana bado kuna watu wanalawitiwa na bado wanamudu. Yapo mashoga ambayo yanajiita 'versatile', yaani yanalawitiwa na pia yanalawiti! Upungufu aliokuwa nao huyo aliyetajwa na Sipo huenda angekuwa nao tu hata kama angekuwa hajawahi kulawitiwa. Kuna watu wengi tu wana upungufu wa nguvu za kiume lakini hawajawahi kulawitiwa hata mara moja.
Kukosa nguvu za kiume si 'tiketi' au 'ruhusa' au uhalalisho wa mtu kugeuka shoga. Haya ya ushoga ni mambo tu watu wanaendekeza, na mfano uliotolewa na Sipo ni typical kabisa ya uendekezaji. Kama shida ilikuwa ni hela, tulitegemea baada ya kupata hizo milioni 8 za huyo kigogo angeacha basi. Kama si uchangudoa wa kishoga ni nini? Huyo ni CD tu!
Ushoga ni tatizo la kitabia, na wala si la maumbile. Ni kitu watu wanajifunza kama mtu anavyojifunza tu sarakasi au mchezo mwingine, ndio maana kwenye hii kitu tunawalaumu mashoga wenyewe kwa kujiingiza humo. Ni tabia mbaya tu sawa na uteja wa unga, udokozi, nk.
Sasa kilichomfanya akachanganyikiwa zaidi ni pale alipompata mpenzi na kugundua kuwa ana tena nguvu za kiume na alipokwenda hospitali na kumweleza daktari ukweli daktari alimjibu kuwa kutokana na vitendo alivyofanya vya kishoga haotokuwa na uwezo tena wa kuwa na nguvu za kiume maishani mwake.
Hakuna hicho kitu, kitaalam kulawitiwa hakusababishi mtu kukosa nguvu za kiume na ndo maana hata mashoga wengi husimamisha wakichezewa. Pia kwa mujibu wa mtaalam wa masuala ya mahusiano Rosario, Schrimshaw, Hunter, Braun (2006), anasema tabia za usagaji, ushoga na hata ujikedume hutokana na mazingira anayotoka mhusika na mara nyingi hayana madhara na mabadiliko ya maumbile yao ya kawaida." kwa mfano msagaji anaweza kufanya mapenzi na jinsia nyingine bila kuathiri tabia yake ya usagaji na hata ile ya ushoga
Ndo wapo watu wengi mashuhuri wametuhumiwa kuwa na tabia za ushoga ndani ya ndoa au hata nje ya mhusiano ya kawaida bila wenzao (wapenzi wao) kugundua. Sasa inawezekana huyo rafiki akawa na tatizo hilo lakini sikubaliani na sababu alizokupa eti daktari katia sahihi yeye hawezi kusimama tena.
HUYO ALITAKA KUWEKA JUSTIFICATION YA YEYE KUENDELEA NA KITENDO HICHO. Hakuna jipya ni tabia mbaya tu....kama hasimami ndo akasimamiwe eboo!!!!😱
Sasa kilichomfanya akachanganyikiwa zaidi ni pale alipompata mpenzi na kugundua kuwa ana tena nguvu za kiume na alipokwenda hospitali na kumweleza daktari ukweli daktari alimjibu kuwa kutokana na vitendo alivyofanya vya kishoga haotokuwa na uwezo tena wa kuwa na nguvu za kiume maishani mwake.