Mashoga wa JF.

Mtoa mada ana nia njema.
mashoga wasagaji wanataka kutambuliwa.
wajitokeze basi hapa jamvini tuwatambue.
 
Jamani, mbona mnapotezea tu hamjitokezi? Mbona huwa tunawasoma mara nyingi tu Kwenye masiredi humu ndani mnaitana 'shoga', sasa mmeanzishiwa siredi mjitambulishe badala yake mnakaushia tu! Au ushoga wenu huwa ni wa geresha tu?
 
sidhani kama humu ndani kuna watu wenye tabia hii maana watu wenye tabia za kishoga au mashoga story zao kikekike tu humu hawawezi kukaa

Kaka ukorofi huo. Kama mtoa mada anawatafuta wenzake una haja gani ya kumpuuza?
 
Ndugu,Wao ni watu wazima kama hawajajitokeza ina maana hawajataka kujulikana na kwa vile hata huo pia ni uamuzi inapaswa uheshimiwe.
 
Sijakuelewa kabisa hapo red?
Mwanamke anahusuana na kike moja kwa moja
Kwa hiyo wanawake humu jf inakuwaje?

sidhani kama humu ndani kuna watu wenye tabia hii maana watu wenye tabia za kishoga au mashoga story zao kikekike tu humu hawawezi kukaa
 
makubwa unawatafuta wenzio mkuu?
 
duuuh eebhana eee ya leoleo hilyooo, hii kali
 
makubwa unawatafuta wenzio mkuu?

mbona unachakachua mada wewe anatakujua wewe na Angel Nylon kongosho na ashadii jinsi mlivyo mashoga kama unalako ni juu yako..
 
Nadhani kwa kila penye mkusanyiko na wao wapo katikati yenu!sasa kama nihivyo na mnapenda mtambuliwe kisheria basi matembezi uanzia nyumbani kwa mantiki hiyo kama wanajamii tulioko jf tungependa tuwafahamu!
Mabasha hutaki kutambua uwepo wao? tupo hapa!
 
kwa nini wewe unataka kuwafahamu hao mashoga? Unawataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…