Mashoga wa JF.

Mashoga wa JF.

mi mzima mkuu naendelea kuhabarika jamvini
Safi sana ila kesho tutakuwa wote tangu mchana coz ntakuwa live bila chenga.Mi nimekosa mahabari mchana kutwa aisee inaumaa aje
 
mmh!!nina mashaka na mtoa mada.nitarudi wakuu.
Mashaka juu ya nini eraboreti uzi wako au nikudadavulie unamaana mimi punga?? sema usiogope hupo nyuma ya keybord hofu nini??
 
Mashaka juu ya nini eraboreti uzi wako au nikudadavulie unamaana mimi punga?? sema usiogope hupo nyuma ya keybord hofu nini??

Kichwa cha habari kimemponza huyo. Rafiki wa karibu pia si wanaitana shoga. Labda hajui hilo.
 
Sasa kwanini wanaandamana mitaani kutaka watambuliwe??hapa wana sepa!!je kule jahazi mbona wanajianika?au kule akuna mbaya??
 
mnawafuatilia sana ..
kujitambulisha au kutokujitambulisha ni uamuzi wao..
waacheni waishi maisha yao .mnawatakia nini tu..
 
Happy nu yr!!mkuu nakutafuta!!

Ngoja nifanye la nadifu hahahah lol



0035.gif
0020.gif


Haya kakaake umenipata sasa.. sema tu nini kulikoni?
 
duh mkuu nashangaaa sana haya yanatoka kichwani mwako? au Boflo katoa ufadhili kiaina??
 
duh mkuu nashangaaa sana haya yanatoka kichwani mwako? au Boflo katoa ufadhili kiaina??
Mkuu hapi nyu yia kwanza mkuu hii nikatika harakati za kutambua jamii tuliyo nayo humu!ila naona srid linakaribia kwenye mia hata mmoja kujitokeza hakuna!naanza kuwa na mashaka nao kuwa kelele zao kwenye majukwaa!kweli kama hawajitokezi na amini mashoga wasomi wana aibu ila wakwenye majikwa nif****** nikale! Maana niliwaona pale TGNP!sikuamini macho yangu!leo wamepewa uzi kimya!!!! nilitaraji watajitokeza ili tujue uwepo wao hapa jf kumbe kweli nivibogoyo nikuanzia juu hadi chini!!!bure kabisa!
 
Back
Top Bottom