nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,342
- 3,885
Niko kijana wangu nilikuwa busy sana
vp mzima wewe?
mi mzima mkuu naendelea kuhabarika jamvini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko kijana wangu nilikuwa busy sana
vp mzima wewe?
Safi sana ila kesho tutakuwa wote tangu mchana coz ntakuwa live bila chenga.Mi nimekosa mahabari mchana kutwa aisee inaumaa ajemi mzima mkuu naendelea kuhabarika jamvini
mmh!!nina mashaka na mtoa mada.nitarudi wakuu.
Hahahaaa hebu fafanua kidogokweli ee!
Mashaka juu ya nini eraboreti uzi wako au nikudadavulie unamaana mimi punga?? sema usiogope hupo nyuma ya keybord hofu nini??
Mashaka juu ya nini eraboreti uzi wako au nikudadavulie unamaana mimi punga?? sema usiogope hupo nyuma ya keybord hofu nini??
Happy nu yr!!mkuu nakutafuta!!
Mh! Bhange bana! Nalog offMabasha hutaki kutambua uwepo wao? tupo hapa!
Mkuu hapi nyu yia kwanza mkuu hii nikatika harakati za kutambua jamii tuliyo nayo humu!ila naona srid linakaribia kwenye mia hata mmoja kujitokeza hakuna!naanza kuwa na mashaka nao kuwa kelele zao kwenye majukwaa!kweli kama hawajitokezi na amini mashoga wasomi wana aibu ila wakwenye majikwa nif****** nikale! Maana niliwaona pale TGNP!sikuamini macho yangu!leo wamepewa uzi kimya!!!! nilitaraji watajitokeza ili tujue uwepo wao hapa jf kumbe kweli nivibogoyo nikuanzia juu hadi chini!!!bure kabisa!duh mkuu nashangaaa sana haya yanatoka kichwani mwako? au Boflo katoa ufadhili kiaina??