Enzi hizo verified kwa members hazikuwepo.labda mods wathibitishe...
Sina uhakika ila alikuwa active sana tangia 2016 August hajatia maguu JF.Wanasema huyo MKATE eti kafaa
Itakuwa kabadilisha ID labdaaSina uhakika ila alikuwa active sana tangia 2016 August hajatia maguu JF.
PossibleItakuwa kabadilisha ID labdaa
dah ...mbona atakuwa kafa kimya kimyaSina uhakika ila alikuwa active sana tangia 2016 August hajatia maguu JF.
You never know labda kaacha kuingia JF anatafuta maisha.dah ...mbona atakuwa kafa kimya kimya
Kuiacha JF sio kazi ndogo labda ufeYou never know labda kaacha kuingia JF anatafuta maisha.
sijui Boflo alienda wapi? yule ndo anajulikana
Boflo kapotea kweli hatuwezi jua mkuu kama kadanja au lah.Kuiacha JF sio kazi ndogo labda ufe