Mashoga wa JF.

Mashoga wa JF.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nadhani kwa kila penye mkusanyiko na wao wapo katikati yenu!sasa kama nihivyo na mnapenda mtambuliwe kisheria basi matembezi uanzia nyumbani kwa mantiki hiyo kama wanajamii na mko Hapa JF Basi tungependa tuwafahamu!Sivibaya mkajulikana kama kuna wakuwaunga mkono hapa basi wawaunge na mikono.
 
sidhani kama humu ndani kuna watu wenye tabia hii maana watu wenye tabia za kishoga au mashoga story zao kikekike tu humu hawawezi kukaa
 
Na wa kike pia tujitaje, ama tangazo ni la wanaume tu?
(Thorrreeee, unatafuta mwenza?!)
 
Kwani hakuna sehemu yao maalumu ya kukusanyika kama wafanyavyo makahaba uende huko uwatafute. Ukiwajua wata..........
 
Kakakiiza umepewa fedha zao na David Cameron nini ?
 
nadhani ww mtoa mada ndio tukutambue wa kwanza, wengine watakufuata.
 
mtoa mada anakusudia mashoga wa kike, km AshaDii na Lizzy, au Smile na Kin'gasti au mie na Amyner n.k, au mie ndo sijafaham?
 
Back
Top Bottom