engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
ikiwa hujapata uzao/mtoto kwa muda mrefu na kuoteshwa in ndoto utajifungua kidume ambacho kitajakua shoga will you thank GOD kwa kukupa mtoto or you better die bila mtoto?Dini haijalishi sana Ila
Mungu haruhusu
mambo mengi sana
lakini binadamu kama
binadamu hatuachi dhambi..
Nimesikia kutapika hata sijui kwanini nimefungua hapa kha!!!
ikiwa hujapata uzao/mtoto kwa muda mrefu na kuoteshwa in ndoto utajifungua kidume ambacho kitajakua shoga will you thank GOD kwa kukupa mtoto or you better die bila mtoto?
Kweli dini haijalishi sana maana zipo zinazotaka kuruhusu watu wa hivyo wawe wachungaji..Dini haijalishi sana Ila
Mungu haruhusu
mambo mengi sana
lakini binadamu kama
binadamu hatuachi dhambi..
siweki neno nisije ambulia laanamtoto ni baraka
Nitakachopewa na Mungu
Nitakipokea na kukifurahia..
YES I WILL THANK GOD
FOR GIVING ME A KID :A S-baby:
Dah haya mambo kumbe yapo kweli? kazi kwelikweli!
hata Mike Tyson akichomwa sindano ya kumwongezea oestrogen ataanza kuwa na move za kishoga.Wote wanaume/wanawake tuna homone za oestrogen/testesteron ila kwa viwango tofauti.mtoto ni baraka
Nitakachopewa na Mungu
Nitakipokea na kukifurahia..
YES I WILL THANK GOD
FOR GIVING ME A KID :A S-baby:
Kweli dini haijalishi sana maana zipo zinazotaka kuruhusu watu wa hivyo wawe wachungaji..
Kiukweli ni kuwa maadili yameporoka sana...
Hizi haki za kidunia ndio zinaharibu kila kitu na kufanya dunia iwe na uovu wa kila aina...D.A utapike kwa lipi? Ni maisha yao then at end of the day kumbuka kuna hukumu ya mwenyezi, japo si jambo jema bt ndivyo ilivyo, hawa wanalindwa na haki za kidunia bt kiimani hatupo pamoja nao!
hata Mike Tyson akichomwa sindano ya kumwongezea oestrogen ataanza kuwa na move za kishoga.Wote wanaume/wanawake tuna homone za oestrogen/testesteron ila kwa viwango tofauti.
Balaa ni pale mwanaume anapokuwa na oestrogen nyingi (a hormone stimulating female characterization and growth of secondary female sifa)
naelewega sana sema kuna wakati nageuka zuzu naswitch off uelewa flaniflaniYou Know your very smart
when you want to be mmmh
yaani nimefurahi sana kuona
kwamba unaelewa kwamba ma gay
wote si wakujitakia bali kuna wengine
wengi wamezalia hivyo .. sante dear
Dah haya mambo kumbe yapo kweli? kazi kwelikweli!
naelewega sana sema kuna wakati nageuka zuzu naswitch off uelewa flaniflani