SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
usema ukweli
mimi kama mzazi nitafanya kila
niwezalo kumpa mtoto wangu maadili
mema ntamfundisha nini mimi nakiona
kibaya na nini mimi nakiona kizuri lakini
yeye anakua na yeye atachagua nini kizuri na
nini kibaya kwake.. na akisha fika umri fulani
kila kitu kitakuwa ni juu yake .....
lakini stontaa kaa nimlalamikie Mungu Wangu
Kwa kunipa mtoto mwenye matatizo ..
Ni kumwomba Mungu akusaidia kumlea mtoto ktk maadili mazuri. Manake hii dunia tunakoenda inatisha. Sijabahatika kuwa mzazi lakini imagine una mtoto wa kiume say yuko high school au college then out of the blue ana-confess kwa mzazi kuwa ni gay! Kama mzazi nafikiri nitazimia. Ee Mungu tuepushie aibu na balaa hili