cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wapo sana na wanazeeka vizuri na utamu wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu humu naona wanakazana kufananisha ushoga na matatizo mengine ya kimaadili katika jamii. Eti wanadai kama ni hivyo angeanza na hao wenye hayo matatizo mengine! Shame!
Hivi mnajua balaa la ushoga nyinyi au mnatetea tu? Mambo mengine haya kuna hekima ndani yake hamjui tu. Saa zingine hukumu za kifo zinamsaidia hata yule mwenye kuhukumiwa ila nyinyi mlichokomalia ni uhai tu na ndiyo ajabu ya watu waovu... kupenda uhai na hata asijue huo uhai ni wa kazi gani.
Nawaacha na changamoto moja hapa, tunashuhudia watu wengi sana wakistaafu au wakiacha tabia zao mbovu kimaadili (mfano wizi, ujambazi, ulevi, nk) na kuwa watu safi kabisa kwenye jamii; haya tajeni shoga mstaafu mnayemjua yaani amefanya sana ushoga ila imefika amesema basi na ikawa basi kwelikweli!