Mashoga wanatakiwa wapewe adhabu ya kifo hapo ndio tutaokoa kizazi hiki

Mimi ni mkazi wa Arusha mtoa mada naomba unielekeze ni sehemu gani ndani ya mkoa wangu pendwa wanapopatikana mashoga. Kwa sababu imekua mazoea sasa kila Uzi wa ushoga humu mfano unatolewa kwa mkoa wa Arusha, lakini sisi wakazi wa mji huu hatuwaoni hao mashoga.
 
Wewe huna akili na ni mpumbavu.

Ukishawamaliza hao mashoga utahamia kwa nani? Andunje? Wamasai? Bijeba au?
Shwaini kabisa
Mkuu sikutarajia ungewatetea kwa nguvu hivi haya mambo sio ya asili ya muafrika na kumbuka asili pekee ndo haifi lakini kisichokua asili chaweza kufa na kupotea kabisa ushoga sio asili yetu tunaweza kuungamiza kabisa
 
Sitetei mashoga.

Ila hujui kuwa mashoga wanatoka wapi. Wanatokana na nini.
Ndio maana nakuomba usikurupuke, stori za kwenye h
Kahawa au kwa vile umetoka kweny mhadhara basi unataka kuuacmashoga.

Jaribu kwanza kumaliza mateja. Then hamia kwa mashoga.
 
Nashangaa mtoa mada anaongelea supply side peke yake.
Je tukiwahasi wote wanaowafukunyua mashoga yaani upande wa demand. Huoni kwamba tatizo litaisha.
Ama hujagundua kwamba mabasha ndio husababisha uwepo wa ma bwabwa
 
Kabla kutoa hukumu ya kuwaua mashoga, ni vema mleta mada kwanza ungejifunza au kutafiti kidogo masuala kadhaa kuhusu ushoga. Ni muhimu ungejiuliza ushoga ni nini na unasababishwa na nini? Ungejiuliza ushoga ulianza lini na kwanini umeendelea kuwepo miaka yote hii? Na je utaendelea kuwepo au hautakuwepo? Je watu hulazimishwa au hutenda kwa hiyari yao wenyewe? Nini hasa kinawavutia kuingia kwenye ushoga?

Ushoga ni tatizo la kimaadili kama ilivyo kwenye matatizo mengine ya kimaadili kwenye jamii zetu mfano, ulevi, uzinzi, ukahaba,wizi, utapeli, uteja wa dawa za kulevya, ufisadi, nk, na chanzo chake kinatoka kwenye jamii yetu tunayoishi. Hivyo kama unapendekeza adhabu kwa mashoga iwe kuwaua, basi hata hao wengine wenye makosa ya kimaadili nao wauwawe pia, sijui nani atakayebaki? Kama una mwanafamilia anayekabiliwa na tatizo la kimaadili, mfano mlevi, mzinzi, teja, tapeli, fisadi, utakubali auwawe? Huoni kwamba pamoja na changamoto hizo za kimaadili, wao ni binadamu, wana haki zao za msingi badala ya kupendekeza wauwawe.

Kama kweli unakerwa na ushoga, na kwa kuwa ni tatizo ambalo mzizi wake ni jamii unayoishi, nakushauri uanzie nyumbani kwako, mtaani kwako na kwenye jamii yako. Pia washirikishe viongozi wa kidini kwenye jamii yako kuhusu athari sio tu za ushoga, bali hata walevi, wazinzi, matapeli, wezi, n,k.

Kabla hujapendekeza adhabu kali kwa mashoga tafakari hoja hizo kwanza.
 
Naunga mkono hoja, walevi na mabaharia wote wauawe
 
Back
Top Bottom