Mashoto Maarufu Duniani

Mashoto Maarufu Duniani

Mbona picha ya Messi inaonesha anatumia kulia...Hata ya Manny pacquiao pia!!
 
Hapo kwenye namba 6, Rafa Nadal sio left handed. Anatumia mkono wa kulia kama kawaida, kama anavyoonekana anaandika kwenye picha hapo. Mwenyewe anasema upande wake wa kulia ndio wenye nguvu na active sana, ila anapokuwa kwenye Tennis Court tu ndio anashika racket kwa mkono wa kushoto. Ni kitu alichojifunza since day one.
 
Pia mama Janeth Magufuli, ingawa sina picha yake ya mashoto naitafuta kwa bidii paap hii hapa
images
 
Mimi dhakar yangu imekunjia kushoto so nami ni left hander!!!
 
Mimi ninapocheza mpira wa miguu huwa natumia mguu wa kushoto na baadhi ya kazi natumia kushoto ila ninapoandika naandikia kulia
 
Bill Clinton sio tajiri namba moja duniani!

Kwenye picha zako wafuatao wanaonekana kutumia mkono wa kulia tofauti na bandiko lako: Rafael Nadal, Lionel Messi na Manny Pacquiao
 
Edit hapo badala ya Bill clinton ni Bill Gates.....

Me natumia mikono yote, ni mmoja a wale watoto waliokatazwa kutumia mashoto sasa sijui tunakua fungu gani hapo
 
Mkuu mi sijakuelewa unalenga nini.

Unataka kutuaminisha kuwa ukitumia mashoto lazima ufanikiwe na uwe maarufu kama hao uliowataja hapo juu?!

Je,hakuna watu wanaotumia kulia na wenye mafanikio kuliko hao uliowataja?!

Kama wapo point yako hasa kwenye hili bandiko ni kitu gani hasa?!
Anamaanisha kwa wale wazazi wanao/walio wazuia watoto wao kutumia mashoto kua sio kitu kibaya, coz kuna watu wanaendeleza maisha yao na mashoto yao kama hao maarufu..
 
We jammaa ni Bill Gate na namba 6,7 10 mbn wanatumia kulia imekuwaje tn
 
Mwingine ni Uhuru Muigai Kenyatta, Rais wa nne wa jamhuri ya watu wa Kenya.
 
Hata Mimi najikubali sana natumia mashoto na ni Mkurugenzi wa shirika kubwa hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom