dinho hachagui mguu yote twendeHeheheee....hivi albert Einstein alikuwa anatumia mkono gani? Vp kuhusu peel neimar na maradona bila kumsahau Dinho?
Naye ni left handed?Na ndio Birthday ya Fid Q
Anamaanisha kwa wale wazazi wanao/walio wazuia watoto wao kutumia mashoto kua sio kitu kibaya, coz kuna watu wanaendeleza maisha yao na mashoto yao kama hao maarufu..Mkuu mi sijakuelewa unalenga nini.
Unataka kutuaminisha kuwa ukitumia mashoto lazima ufanikiwe na uwe maarufu kama hao uliowataja hapo juu?!
Je,hakuna watu wanaotumia kulia na wenye mafanikio kuliko hao uliowataja?!
Kama wapo point yako hasa kwenye hili bandiko ni kitu gani hasa?!
Raisi mwenye akili Afrika anatumia kushoto
Wakikujibu ni tag mkuu..Samsoni alikuwa anatumia shoto au kulia?