Waridi
JF-Expert Member
- Mar 30, 2008
- 1,025
- 172
Wakuu,
kwa muda mrefu yamekuwepo malalamiko kuwa wakenya/makampuni na/au taasisi za Kenya wamekuwa wakiilaghai dunia kwamba Mlima Kilimanjaro na mbuga ya Serengeti viko nchini kwao.
kwa ulaghai huo si tu kwamba wametenda kosa la jinai kwa kusema uongo, bali wanajipatia mapato haramu yanayotokana na utalii, huku wakiikosesha Tanzania mapato hayo.
Hivyo, nawaombeni ushirikiano tukusanye ushahidi kisha tutafute mwanasheria apeleke jambo hili mbele ya vyombo vya kimataifa vya haki.
Tafadhali mwenye chochote kinachoweza kusaidia ushahidi aweke hapa, au anitumie hata kwa PM.
Na kama kuna mwanasheria yuko tayari kuibeba kesi hii ani-PM pia.
Take it serious please. Tulinde maslahi ya Taifa letu wenyewe.
Asanteni.