Mashtaka Dhidi ya Kenya

Mashtaka Dhidi ya Kenya

Waridi

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2008
Posts
1,025
Reaction score
172
Wakuu,
kwa muda mrefu yamekuwepo malalamiko kuwa wakenya/makampuni na/au taasisi za Kenya wamekuwa wakiilaghai dunia kwamba Mlima Kilimanjaro na mbuga ya Serengeti viko nchini kwao.
kwa ulaghai huo si tu kwamba wametenda kosa la jinai kwa kusema uongo, bali wanajipatia mapato haramu yanayotokana na utalii, huku wakiikosesha Tanzania mapato hayo.

Hivyo, nawaombeni ushirikiano tukusanye ushahidi kisha tutafute mwanasheria apeleke jambo hili mbele ya vyombo vya kimataifa vya haki.
Tafadhali mwenye chochote kinachoweza kusaidia ushahidi aweke hapa, au anitumie hata kwa PM.
Na kama kuna mwanasheria yuko tayari kuibeba kesi hii ani-PM pia.

Take it serious please. Tulinde maslahi ya Taifa letu wenyewe.
Asanteni.
 
Hivi ukiwa na jirani mwenye kito cha dhamani lakini hana miundombinu ya kuweza kukifanya kito hicho kijulikane na wewe ukawa una miundombuni iliyo karibu na kito hicho ukawaambia watu ukiwa nyumbani kwangu unaweza kuona kito cha dhamani kuna kosa kweli hapo iwapo kweli ukitembelewa unaweza kuwaonyesha watu kito hicho cha dhamani kuna kosa gani hapo? wakenya hawajadai kuwa mlima kilimanjaro uko kenya bali wamesema ukiwa kenya unaweza kuona mlima kilimanjaro. Na huo ni ukweli.
 
Wakuu,
kwa muda mrefu yamekuwepo malalamiko kuwa wakenya/makampuni na/au taasisi za Kenya wamekuwa wakiilaghai dunia kwamba Mlima Kilimanjaro na mbuga ya Serengeti viko nchini kwao.
kwa ulaghai huo si tu kwamba wametenda kosa la jinai kwa kusema uongo, bali wanajipatia mapato haramu yanayotokana na utalii, huku wakiikosesha Tanzania mapato hayo.

Hivyo, nawaombeni ushirikiano tukusanye ushahidi kisha tutafute mwanasheria apeleke jambo hili mbele ya vyombo vya kimataifa vya haki.
Tafadhali mwenye chochote kinachoweza kusaidia ushahidi aweke hapa, au anitumie hata kwa PM.
Na kama kuna mwanasheria yuko tayari kuibeba kesi hii ani-PM pia.

Take it serious please. Tulinde maslahi ya Taifa letu wenyewe.
Asanteni.
Du ndugu wacha kwanza tumalizane na Rwanda kwanza maana procrastination makes easy things hard, hard things harder.
 
Back
Top Bottom