Mashtaka ya Ugaidi: Shujaa wa 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina akutwa na hatia. Ahukumiwa kifungo cha miaka 25

Mashtaka ya Ugaidi: Shujaa wa 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina akutwa na hatia. Ahukumiwa kifungo cha miaka 25

ila jamaa nae kiazi sana kwanini ajiingize kwenye siasa da ila watu wa usalama nyoka sana nasikia rafiki yake wa kalibu ndio alimuuza walijua wanaenda burundi akashangaa ndege imetua rwanda
Aliuzwa na mchungaji wa Burundi alikokua anaenda kupata connection za ugaidi wake.Alidakwa Kama mtoto mdogo vile.
 
Safi Sana,Ila wamemuonea huruma Sana alitakiwa apigwe kifungo Cha Maisha kabisa.
 
Paul Rusesabagina ni mhutu ambae wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda, alishiriki katika kuwaokoa wa tutsi zaidi ya 1000 akiwemo mkewe na wanae, wasiuwawe. Aliwaficha kwenye hotel aliyokuwa akifanya kazi, na kwa ushirikiano wa vikosi vya UN na kidogo AU aliweza kuwatoro kinyume na matakwa ya wahutu wenzie.
Hotel Rwanda ilikuwa ni filamu ya simulizi ya ujasiri huu aliyoufanya. Alipendwa na kuheshimika nchini na mpaka nje ya Rwanda, hataUlaya. Hatimae alikuja akawa rafiki pia wa Kagame. Uadui na Kagame ulianza alipokosoa mambo katika uendeshaji wa nchi.
Paul Rusesabagina ambae alikuwa raia wa Rwanda/Belgium alikimbia nchi na kujiunga na upinzani. Amehukumiwa miaka 25 jela kwa makosa ya kubambikiwa.
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi huu murua kabisa,, kila la kheri
 
Aliuzwa na mchungaji wa Burundi alikokua anaenda kupata connection za ugaidi wake.Alidakwa Kama mtoto mdogo vile.
Naomba usambaze hii video wanao ongelea wasiyo yajua ili wajue ukweli kuhusu huyu Mzee! Maana watu hapa wamedaka taarifa kutoka bbc nakuanza kungea wakati hawajui lolote.

IMG_20210920_191146.jpg

IMG_20210920_191216.jpg
 
Attachments

  • twitter_20210920_190338.mp4
    1.2 MB
Paul Rusesabagina ni mhutu ambae wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda, alishiriki katika kuwaokoa wa tutsi zaidi ya 1000 akiwemo mkewe na wanae, wasiuwawe. Aliwaficha kwenye hotel aliyokuwa akifanya kazi, na kwa ushirikiano wa vikosi vya UN na kidogo AU aliweza kuwatoro kinyume na matakwa ya wahutu wenzie.
Hotel Rwanda ilikuwa ni filamu ya simulizi ya ujasiri huu aliyoufanya. Alipendwa na kuheshimika nchini na mpaka nje ya Rwanda, hataUlaya. Hatimae alikuja akawa rafiki pia wa Kagame. Uadui na Kagame ulianza alipokosoa mambo katika uendeshaji wa nchi.
Paul Rusesabagina ambae alikuwa raia wa Rwanda/Belgium alikimbia nchi na kujiunga na upinzani. Amehukumiwa miaka 25 jela A
Achana na mambo ya fiction hapa, waliokuwepo kwenye hotel ndio wanajua ukweli kua walikaa kwenye hiyo hotel kwa pesa zao sio kwa huruma ya Paul,ari wa charge waliokosa waliyolewa out. Mambo ya hiyo Fiction movie tuachane nayo ilikua ujanja wake kujitangaza na kutafta pesa,turudi kwenye issue ya Ugaidi hapa.

Mnarukia taarifa tu sijui siasa sijui nini! Hamkua na taarifa youote kuhusu huyu jamaa tangu akatwe leo ndio mme copy kwenye media za mabeberu kuhusu hukumu yake. Rusesabagina issue yake yote aliyo kuwa akiyafanya FBI wanayajua,transactions zote alizo kuwa akituma kwa watu tofauti,nchi tofauti wanajua yani evidence zote zipo. Upererezi wa Ubelgiji wanajua maana walishilikiana na RIB ya Rwanda ku mu search huko nyumbani kwake Ubeligiji,na nyaraka zote za ushahidi zipo FBI wanazo,Ubeligiji wanazo,RIB ya Rwanda wanazo. So lilikua swala la mda tu ku mnasa.

Basic evidence ziko hapa👇
Hizi ndiyo zile mahakama zinazofuata maelekezo kutoka juu. Beberu huziita kangaroo courts.

Huko unapelekwa kuwapa uhalali wa kukushona mvua zilizokwisha amuliwa hata kabla ya kesi kuanza.

Hizo ndiyo zile mahakama za mwendazake na pia za huyu anayeendeleza zile

IMG_20210920_191146.jpg
 
Attachments

  • twitter_20210920_190338.mp4
    1.2 MB
Lets wait kwa kutakua na ushahidi kama huu kwa gaidi Mbowe!
Usio yajua kaakimya.

IMG_20210920_191146.jpg

IMG_20210920_191216.jpg
 
Attachments

  • twitter_20210920_190338.mp4
    1.2 MB
Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi.

Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi ambalo lilifanya mashambulizi Nchini Rwanda na kuua Raia kadhaa mwaka 2018.

Familia ya Rusesabagina ambaye ni mkosoaji mkubwa wa Rais Paul Kagame imedai alipelekwa Rwanda kinguvu na uendeshaji wa Kesi dhidi yake haukuwa wa Haki.

View attachment 1946283

UPDATE: PAUL RUSESABAGINA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 25 JELA

Mahakama imemhukumu Paul Rusesabagina aliyetajwa kuwa Shujaa katika Filamu ya 'Hotel Rwanda' kifungo cha miaka 25 baada ya kukutwa na hatia katika Mashtaka ya Ugaidi

Waendesha Mashtaka walitaka kifungo cha maisha dhidi ya Rusesabagina kwa mashtaka 9 yakiwemo ugaidi, kuchukua watu mateka na kuunda kundi waasi wenye silaha aliloelekeza kutoka nje ya nchi

Wafuasi wake wamesema kesi hiyo ni uthibitisho wa unyanyasaji wa Rais Paul Kagame kwa wapinzani wa kisiasa

======

A man who was portrayed in a film as a life-saving hero during the Rwandan genocide has been convicted of terrorism by a court in Rwanda.

Paul Rusesabagina was found guilty of backing a rebel group from exile which killed civilians in attacks in 2018.

His family have alleged that he was taken to Rwanda by force. They have also said he did not have a fair trial.

Rusesabagina's journey from celebrated figure to state enemy happened as his criticism of the government grew.

In a period of 100 days from April 1994, 800,000 people, mostly from the Tutsi ethnic group, were slaughtered.

In the Oscar-nominated movie Hotel Rwanda, Rusesabagina, played by Don Cheadle, was shown how as hotel manager he managed to protect more than 1,000 people who had sought shelter.

But as his profile was raised following the release of the film in 2005, his criticism of the post-genocide government and President Paul Kagame gained a wider audience.

Living in exile, he went on to lead an opposition coalition, which had an armed wing - the National Liberation Front (FLN).

The FLN was accused of carrying out attacks in 2018 in which the authorities said nine people were killed.

Rusesabagina's family have said that he was kidnapped and forcibly taken to Rwanda last year.

But in court, one witness spoke about how he had tricked Rusesabagina onto a plane in Dubai by telling him it was flying to neighbouring Burundi.

He withdrew from the trial in March this year, shortly after it began, saying that he was not being given a fair hearing.

Source: BBC
Kwahiyo kuigiza Fiction movie its means hawezi kuwa Gaidi? Hiyo hela na Unarufu ndio chanzo cha kujihusisha na Ugaid akiunda jeshi na kuli support.

Check hapo chini au ingia youtube ukacheck full videos zake.

IMG_20210920_191146.jpg

IMG_20210920_191216.jpg
 
Attachments

  • twitter_20210920_190338.mp4
    1.2 MB
Achana na mambo ya fiction hapa, waliokuwepo kwenye hotel ndio wanajua ukweli kua walikaa kwenye hiyo hotel kwa pesa zao sio kwa huruma ya Paul,ari wa charge waliokosa waliyolewa out. Mambo ya hiyo Fiction movie tuachane nayo ilikua ujanja wake kujitangaza na kutafta pesa,turudi kwenye issue ya Ugaidi hapa.

Mnarukia taarifa tu sijui siasa sijui nini! Hamkua na taarifa youote kuhusu huyu jamaa tangu akatwe leo ndio mme copy kwenye media za mabeberu kuhusu hukumu yake. Rusesabagina issue yake yote aliyo kuwa akiyafanya FBI wanayajua,transactions zote alizo kuwa akituma kwa watu tofauti,nchi tofauti wanajua yani evidence zote zipo. Upererezi wa Ubelgiji wanajua maana walishilikiana na RIB ya Rwanda ku mu search huko nyumbani kwake Ubeligiji,na nyaraka zote za ushahidi zipo FBI wanazo,Ubeligiji wanazo,RIB ya Rwanda wanazo. So lilikua swala la mda tu ku mnasa.

Basic evidence ziko hapa👇

View attachment 1947596
Wamezingua Sana kumfunga miaka michache.
 
Uonevu Tu kama wenyewe wataishi milele.............mungu yupo na anaona kirakitu wewe ngoja atingishe mkono wake ndio utajua ujui......vilio vitatawala uko rwanda
Yani wewe sina cha kukujibu!

IMG_20210920_191146.jpg

IMG_20210920_191216.jpg
 
Attachments

  • twitter_20210920_190338.mp4
    1.2 MB
ila jamaa nae kiazi sana kwanini ajiingize kwenye siasa da ila watu wa usalama nyoka sana nasikia rafiki yake wa kalibu ndio alimuuza walijua wanaenda burundi akashangaa ndege imetua rwanda
Alikua tricked na rafiki yake wa karibu kabisa yani, alikua akiishi Dubai. Walijua watashukia Burundi [emoji1060], kuja kushtuka wapo Kigali [emoji1206]
 
Hotel Rwanda hero Paul Rusesabagina convicted on terror charge

A man who was portrayed in a film as a life-saving hero during the Rwandan genocide has been convicted of terrorism by a court in Rwanda

Paul Rusesabagina was found guilty of backing a rebel group from exile which killed civilians in attacks in 2018. His family have alleged that he was taken to Rwanda by force. They also say that he did not have a fair trial.

Rusesabagina's journey from celebrated figure to state enemy happened as his criticism of the government grew.
Ahsante kwa ku copy na ku paste! Bila kufanys utafiti kujua ukweli kuhusu huyu jamaa.

IMG_20210920_191146.jpg

IMG_20210920_191216.jpg
 
Attachments

  • twitter_20210920_190338.mp4
    1.2 MB
Achana na mambo ya fiction hapa, waliokuwepo kwenye hotel ndio wanajua ukweli kua walikaa kwenye hiyo hotel kwa pesa zao sio kwa huruma ya Paul,ari wa charge waliokosa waliyolewa out. Mambo ya hiyo Fiction movie tuachane nayo ilikua ujanja wake kujitangaza na kutafta pesa,turudi kwenye issue ya Ugaidi hapa.

Mnarukia taarifa tu sijui siasa sijui nini! Hamkua na taarifa youote kuhusu huyu jamaa tangu akatwe leo ndio mme copy kwenye media za mabeberu kuhusu hukumu yake. Rusesabagina issue yake yote aliyo kuwa akiyafanya FBI wanayajua,transactions zote alizo kuwa akituma kwa watu tofauti,nchi tofauti wanajua yani evidence zote zipo. Upererezi wa Ubelgiji wanajua maana walishilikiana na RIB ya Rwanda ku mu search huko nyumbani kwake Ubeligiji,na nyaraka zote za ushahidi zipo FBI wanazo,Ubeligiji wanazo,RIB ya Rwanda wanazo. So lilikua swala la mda tu ku mnasa.

Basic evidence ziko hapa👇

View attachment 1947596

Marekani wenye FBI wameshutumu hukumu na pia kesi kuwa viko politically motivated.

Ubelgiji unakodai ushahidi ulipatikana wameshutumu hukumu na pia kesi kuwa viko politically motivated.

Amnesty International wameshutumu hukumu na pia kesi kuwa viko politically motivated.

Nani asiyejua kwenye udikteta mwendo ni maelekezo kutoka juu?
 
ila jamaa nae kiazi sana kwanini ajiingize kwenye siasa da ila watu wa usalama nyoka sana nasikia rafiki yake wa kalibu ndio alimuuza walijua wanaenda burundi akashangaa ndege imetua rwanda
Sio kujingiza kwenye siasa! Kufanya siasa siyo shida,sema kuanzisha jeshi na kuvamia nchi na kuua raia. Mtu alie pewa presidencial medal ya US hawezi singiziwa hivi tu. Hata FBI wao wanajua aliokua akiyafanya ,even idala ya upererezi y ubeligiji wanajua.

IMG_20210920_191146.jpg

IMG_20210920_191216.jpg
 
Attachments

  • twitter_20210920_190338.mp4
    1.2 MB
Marekani wenye FBI wameshutumu hukumu na pia kesi kuwa viko politically motivated.

Ubelgiji unakodai ushahidi ulipatikana wameshutumu hukumu na pia kesi kuwa viko politically motivated.

Amnesty International wameshutumu hukumu na pia kesi kuwa viko politically motivated.

Nani asiyejua kwenye udikteta mwendo ni maelekezo kutoka juu?

Belgium wamemaindi sababu huyo jamaa ana uraia wa ubelgigi na mwanasheria wa kizungu alikataliwa kwny mahakama ya Rwanda sababu hakuna bilateral agreement Kati ya nchi hizo kuruhusu mawakili wa nchi hizo ku practice,na hata rais wa wanasheria huko Belgium aliulizwa wakili kutoka Rwanda anaweza akasimama kutetea mteja wake huko Belgium akasema haiwezekani Ila wao wanalazimisha wakili wa ubelgigi afanye kazi Kigali, impossible.

Unawaongelea Hawa amnesty/hrw ambao Wana scandal za kuomba rushwa kwa watawala wa Saudi Arabia ili wasiseme human rights abuse zinazofanyika huko?Hawa Ni takataka tu,full kinyesi.

Hivi Osama mbona wamarekani hawakumpa Haki ya kusikilizwa kwny mahakama ili apate Haki yake na wakaamua kumuua?
 
Sio kujingiza kwenye siasa! Kufanya siasa siyo shida,sema kuanzisha jeshi na kuvamia nchi na kuua raia. Mtu alie pewa presidencial medal ya US hawezi singiziwa hivi tu. Hata FBI wao wanajua aliokua akiyafanya ,even idala ya upererezi y ubeligiji wanajua.

View attachment 1947666

View attachment 1947667
Halafu hio medal Ni ya kijinga tu hata Billy Cosby nae alipewa na mwishowe akaishia kufungiwa Kama kawaida.
 
Alikua tricked na rafiki yake wa karibu kabisa yani, alikua akiishi Dubai. Walijua watashukia Burundi [emoji1060], kuja kushtuka wapo Kigali [emoji1206]
Yaani anajiingiza kwny Vita huku hajui mbinu za kiinteligensia,hivi kwa umaskini ilionao Burundi Ni kanisa gani linaweza ku afford kumtumia private jet huyo jamaa ya kumpeleka Burundi?
 
Back
Top Bottom