SanaAisee shudu ni hatari kumbe.
Hahaha, na kweli tumeumbiwa mateso. Fanya basi mpango kwenye zile zawadi zangu kusikosekane mashudu[emoji41]Ama kweli, 'wanaume mmeumbwa mateso kuhangaika' hadi mashudu?
Wewe unataka nguvu za nini wakati mkeo yuko mbali na upeo wa macho yako [emoji12] [emoji12]Hahaha, na kweli tumeumbiwa mateso. Fanya basi mpango kwenye zile zawadi zangu kusikosekane mashudu[emoji41]
Ohoooh, mimi sitaki nguvu bhana, nachotaka ni mashudu kwa ajili ya tumbuzi twangu tuwili[emoji41]Wewe unataka nguvu za nini wakati mkeo yuko mbali na upeo wa macho yako [emoji12] [emoji12]
Anzisha kiwanda ww, soko lipo!Hi wadau katika pilika pilika zangu za ufugaji nimegundua jambo muhimu kuhusu nguvu za uume.Kabla ya kuwapa mifugo yangu mashudu siku za nyuma madume ya ngombe mbuzi bata hawakua na nguvu kabisa.
Lakini sasa hivi kila baada ya dakika kadhaa jike anapumuliwa kisogoni si mbuzi bata wala mbuzi ni kukimbizana mtindo mmojabnikajaribu na mimi mwenyewe ni balaaa jaribu uone moto wa gesi
Nyama ya nguruwe pia inaongezaHi wadau katika pilika pilika zangu za ufugaji nimegundua jambo muhimu kuhusu nguvu za uume.Kabla ya kuwapa mifugo yangu mashudu siku za nyuma madume ya ngombe mbuzi bata hawakua na nguvu kabisa.
Lakini sasa hivi kila baada ya dakika kadhaa jike anapumuliwa kisogoni si mbuzi bata wala mbuzi ni kukimbizana mtindo mmojabnikajaribu na mimi mwenyewe ni balaaa jaribu uone moto wa gesi
Kumbe umeshaandaa kabisa mbuzi wa krismas na mwaka mpya, ntakuja kupata kisusio kwenye sikukuu hizo pendwaOhoooh, mimi sitaki nguvu bhana, nachotaka ni mashudu kwa ajili ya tumbuzi twangu tuwili[emoji41]