Mashudu ya alizeti yanaongeza nguvu za kiume sana

Mashudu ya alizeti yanaongeza nguvu za kiume sana

Mashudu ni cha mtoto, chukua mfuniko wa chupa ya maji utafune meza maji yake utaleta mrejesho hapa.
 
nasubiri kusikia kitimoto nayo yaongeza nguvu za kiume daaah wale wenzetu sijui itakuaje huko
 
Hali ilipofikia. Kiumbe aina yamwaamme ,hata ukimwambia kabla hujapiga mzigo jitie kidole atajitia kweli.
 
Msijidanganye. Nguvu za kiume ni kula vyema, kufanya mazoezi vizuri na kunywa maji ya kutosha.
Pia uachane na wanawake wengi watakuchosha sana.
Use na mpenzi mmoja unayempenda kweli. Just simple like that.
 
Mkuu naona unataka tupandishiwe bei ya chakula cha mifugo yetu.
 
Hi wadau katika pilika pilika zangu za ufugaji nimegundua jambo muhimu kuhusu nguvu za uume.Kabla ya kuwapa mifugo yangu mashudu siku za nyuma madume ya ngombe mbuzi bata hawakua na nguvu kabisa.

Lakini sasa hivi kila baada ya dakika kadhaa jike anapumuliwa kisogoni si mbuzi bata wala mbuzi ni kukimbizana mtindo mmojabnikajaribu na mimi mwenyewe ni balaaa jaribu uone moto wa gesi
Anzisha kiwanda ww, soko lipo!
 
Nyama ya nguruwe pia inaongeza
 
Ohoooh, mimi sitaki nguvu bhana, nachotaka ni mashudu kwa ajili ya tumbuzi twangu tuwili[emoji41]
Kumbe umeshaandaa kabisa mbuzi wa krismas na mwaka mpya, ntakuja kupata kisusio kwenye sikukuu hizo pendwa
 
Back
Top Bottom