Mashudu ya alizeti yanaongeza nguvu za kiume sana

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Hi wadau katika pilika pilika zangu za ufugaji nimegundua jambo muhimu kuhusu nguvu za uume.Kabla ya kuwapa mifugo yangu mashudu siku za nyuma madume ya ngombe mbuzi bata hawakua na nguvu kabisa.

Lakini sasa hivi kila baada ya dakika kadhaa jike anapumuliwa kisogoni si mbuzi bata wala mbuzi ni kukimbizana mtindo mmojabnikajaribu na mimi mwenyewe ni balaaa jaribu uone moto wa gesi
 
Hi wadau katika pilika pilika zangu za ufugaji nimegundua jambo muhimu kuhusu nguvu za uume.Kabla ya kuwapa mifugo yangu mashudu siku za nyuma madume ya ngombe mbuzi bata hawakua na nguvu kabisa.

Lakini sasa hivi kila baada ya dakika kadhaa jike anapumuliwa kisogoni si mbuzi bata wala mbuzi ni kukimbizana mtindo mmoja.Nikajaribu na Mimi mwenyewe ni balaaa jaribu uone moto wa gesi
Mmeona aitosh kwenye supu ya pweza now mmeamia kwenye mashudu [emoji23] [emoji23] [emoji23] huna huna tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hi wadau katika pilika pilika zangu za ufugaji nimegundua jambo muhimu kuhusu nguvu za uume.Kabla ya kuwapa mifugo yangu mashudu siku za nyuma madume ya ngombe mbuzi bata hawakua na nguvu kabisa.

Lakini sasa hivi kila baada ya dakika kadhaa jike anapumuliwa kisogoni si mbuzi bata wala mbuzi ni kukimbizana mtindo mmoja.Nikajaribu na Mimi mwenyewe ni balaaa jaribu uone moto wa gesi
aha...aha...sasa huna nia nzuri na chakula cha mifugo
 
Hi wadau katika pilika pilika zangu za ufugaji nimegundua jambo muhimu kuhusu nguvu za uume.Kabla ya kuwapa mifugo yangu mashudu siku za nyuma madume ya ngombe mbuzi bata hawakua na nguvu kabisa.

Lakini sasa hivi kila baada ya dakika kadhaa jike anapumuliwa kisogoni si mbuzi bata wala mbuzi ni kukimbizana mtindo mmoja.Nikajaribu na Mimi mwenyewe ni balaaa jaribu uone moto wa gesi
hv reproduction activity ya kuku na binadamu ipo sawa eh?? haya ngoja tule mashudu hamna jinsi..huyu ndo mwanaume wa dar banaa
 
Tafuna kiasi kidogo tema makapi meza rojo lake onyo uwe na Toto kando unapofanya jaribio hilo
 
Back
Top Bottom