Mashudu ya alizeti

Mashudu ya alizeti

Bobldi

Member
Joined
Jun 24, 2019
Posts
21
Reaction score
6
Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa.

Kiwanda kipo arusha kwa anaye hitaji nicheki kupitia number 0758666865
 
Sema bei mzee baba chap tumalize biashara
 
Watu wa Singida wananunua mashudu wanaenda kuyakamua tena wanatoa mafuta!!! Wakimaliza wanawauzia wakenya wakatengeneze Brake shoes
 
Back
Top Bottom