GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma.
Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji ) Mwandamizi na Muhimu wa Yanga SC na alishatutungua mno Simba SC kila ikicheza na Yanga SC kama ambavyo hata aliyekuwa Winga tegemeo wa Simba SC Dua Bin Said nae Kawatesa villivyo Yanga SC kwa Kuwafunga kila alipokutana nao.
Mashujaa FC kama mtawabania Simba SC wasiwafunge basi tunaomba muwabanie pia na Yanga SC nao wasiwafunge ila mkikubali tu Kutumika na Klabu moja Kubwa yoyote nawahakikishia pamoja na Kusifika Kwenu kwa Kuroga na Uchawi bado mtashuka Ligi Kuu ya NBC na kujuta.
Nimeamua Kuwatahadharisha mapema.