Mashujaa FC: Kupoteza Muda si Mbinu, ni Tiketi ya Kipigo!

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Kama kuna timu imejifunga goli leo ni Mashujaa FC. Dakika za mwanzo wamegeuza uwanja kuwa sinema ya kuchelewesha mpira—kipa analala juu ya mpira, mabeki wanatembea kama wanaenda sokoni, na kocha anapiga makofi kana kwamba wanaongoza ligi!

Lakini Simba SC si ya kufanyia maigizo! Tulikaa kimya tukiwatazama wanavyochezea dakika zao—ikafika muda machine zikawaka. Dakika chache tu, tukawapa zawadi yao ya kuchelewesha: bao la kwanza, la pili... game over!

Ukiwa na Simba, unacheza mpira, si maigizo. Muda si rafiki wa mpumbavu. Mashujaa wajifunze, Simba si wa kupotezea muda.
 
Serious
 
Walikuwa wanapoteza muda ili kujiweka sawa mchezoni, refa alikuwa anawakata sana kama ulicheza mpira utaelewa walichokuwa wanapitia uwanjani.
 
Kwamba wana simba wanafahamu nini. Ukweli ni kwamba mashujaa wamezingua wenyewe.
Mchezaji anajua kabisa ana kadi ya njano bado anapoteza muda. Anategemea nini.
Kona ilikua inataka kupigwa, Kuna mpira mwingine ulitakiwa utolewe yeye akaurudisha ndani ,, utovu mkubwa wa nidhamu...nidhamu MBOVU kabisa
 
Back
Top Bottom