Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Wachezaji hawa
1. Prince Dube
2. Aziz Ki
3. Chama
Lazima wote au baadhi wa/atupie. Hilo lipo wazi limepitishwa. Na Dube alifanyiwa maombi majini yaliyotupwa kwake na wazee wa Zanzibar yameondolewa. Sasa yupo huru kweli kweli atakuwa anatupia tu.
Aziz Ki naye amekaa sawa hakutakuwa na shida kiwango chake kimerudi upya kabisa ni moto wa gas hauna kuzima kwa maji.
Chama mlikuwa mnamasema goi goi na umri umeenda amenolewa na Mjerumani sasa anatisha, yupo ngangali kinyama.
Yanga imejipata imenawiri, imetakata kinyama. Yaani ni kuwaita tu watu kati hamna jingine. Mwendo wa kugawa dose tu kwa kadri ya ujio wa hawa vilaza. Kila mtu atapata haki yake hakuna kurukwa mtu.
DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO.