Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Dec 19, 2024 #21 Dube atawanyoosha sana mzunguko wa pili
pesakilakitu JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 1,618 Reaction score 2,861 Dec 19, 2024 #22 Shadow7 said: Dube atawanyoosha sana mzunguko wa pili Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kupewa madawa ya kichawi ya mwamposa? Ni za mda mfup tu..atajinyoosha yeye na bichwa lake.
Shadow7 said: Dube atawanyoosha sana mzunguko wa pili Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kupewa madawa ya kichawi ya mwamposa? Ni za mda mfup tu..atajinyoosha yeye na bichwa lake.
M Mjamaa86 JF-Expert Member Joined Jul 10, 2018 Posts 667 Reaction score 689 Dec 19, 2024 #23 Sinoni said: Maajabu hayatoisha .. Yaani kutoa sare na TP Mazembe unatoka kifua mbele na kusema wachezaji wenu wmerudi kwenye ubora wao? Click to expand... Vipi hapo??
Sinoni said: Maajabu hayatoisha .. Yaani kutoa sare na TP Mazembe unatoka kifua mbele na kusema wachezaji wenu wmerudi kwenye ubora wao? Click to expand... Vipi hapo??
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,072 Reaction score 2,384 Dec 20, 2024 Thread starter #24 Tlaatlaah said: shekhe Yahaya Jr, ππͺπ₯π₯ Click to expand... Huwa sikosei mkuu labda nifanyiwe figisu kama ile match ya Simba ya Kimataifa. Ile ilikuwa draw.basi tu refa akafanya figisu.
Tlaatlaah said: shekhe Yahaya Jr, ππͺπ₯π₯ Click to expand... Huwa sikosei mkuu labda nifanyiwe figisu kama ile match ya Simba ya Kimataifa. Ile ilikuwa draw.basi tu refa akafanya figisu.