Mashujaa mguu mmoja Ligi Kuu ya NBC Tanzania

Mashujaa mguu mmoja Ligi Kuu ya NBC Tanzania

Joined
Mar 21, 2023
Posts
2
Reaction score
3
Ushindi wao wa 3 - 1 walioupata leo dhidi ya Mbeya City ya Jijini Mbeya unawafanya kuwa na uhakika wa kupanda Ligi Kuu zaidi labda Mbeya City wakapindue meza nyumbani.

IMG_20230619_214625_289.jpg
 
Hao Mbeya city washuke tu .
Niliwadharau sana Ile game wamecheza na Yanga.
Niliona wazi hawana hadhi ya kubakia ligi kuu.
Timu IPO hatarin kushuka ikapata goli tatu bila ajabu ndani ya dakika 20 zikarudi zote[emoji706][emoji706][emoji706]
Ni timu ya nyumbani ila naombea ishuke inadharirisha mkoa wetu.
Wabaki prison na Ihefu inatosha.
 
Ile game ndiyo inawatafuna washuke wajinga sana vinginevyo sasa hivi Coastal Union F.C. ndiyo wangekuwa wanahangaika...!
 
Magoli ya timing baada ya hapo ni kuzuwia na kubinya nyanya mpira uishe
Mpira ni mbinu ukizidiwa ndo imeisha hiyo.
Sasa kama ilikua timing why hao yanga hawakurudisha km walivyofanya Kwa Mbeya city?
Ukipigwa KO mchezo unqishia hapo hakuna Cha aliniotea mara alinivizia ,ww ulishindwa nn kuvizia?
 
Back
Top Bottom