Mashujaa mguu mmoja Ligi Kuu ya NBC Tanzania

Hao Mbeya city washuke tu .
Niliwadharau sana Ile game wamecheza na Yanga.
Niliona wazi hawana hadhi ya kubakia ligi kuu.
Timu IPO hatarin kushuka ikapata goli tatu bila ajabu ndani ya dakika 20 zikarudi zote[emoji706][emoji706][emoji706]
Ni timu ya nyumbani ila naombea ishuke inadharirisha mkoa wetu.
Wabaki prison na Ihefu inatosha.
 
Ile game ndiyo inawatafuna washuke wajinga sana vinginevyo sasa hivi Coastal Union F.C. ndiyo wangekuwa wanahangaika...!
 
Magoli ya timing baada ya hapo ni kuzuwia na kubinya nyanya mpira uishe
Mpira ni mbinu ukizidiwa ndo imeisha hiyo.
Sasa kama ilikua timing why hao yanga hawakurudisha km walivyofanya Kwa Mbeya city?
Ukipigwa KO mchezo unqishia hapo hakuna Cha aliniotea mara alinivizia ,ww ulishindwa nn kuvizia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…