Mashujaa mguu mmoja Ligi Kuu ya NBC Tanzania

Ile nyomi ya watu waliohudhuria hiyo mechi ilikuwa siyo ya dunia hii! Halafu walikuwa na vibe la hatari.

Hivi walilipia kweli kiingilio!! Au ndiyo ilikuwa 'fungulia mbwa'!!!!

Jamaa walishangilia dakika zote za mchezo
 
Mpira ni mbinu ukizidiwa ndo imeisha hiyo.
Sasa kama ilikua timing why hao yanga hawakurudisha km walivyofanya Kwa Mbeya city?
Ukipigwa KO mchezo unqishia hapo hakuna Cha aliniotea mara alinivizia ,ww ulishindwa nn kuvizia?
Uliona wachezaji waliokua benchi Simba walivyokua wanatamani mpira uishe!?
 
ile game inasemwa walikua wanaendelea na mazungumzo ya kupanga matokeo, pesa alikua ameshika meneja wa mbeua city, walikua bado hawajakubaliana kiasi....

sasa ilipofika half time, city wanaongoza 3-0, meneja wa city akapotea uwanjani na mzigo, na kufunga simu zake zote..... uto wakaona huu ujinga, wakaingiza full mkoko ndio game kuisha 3-3....

hii ndio story iko mtaani jijini mbeya,
 
Uliona wachezaji waliokua benchi Simba walivyokua wanatamani mpira uishe!?
Umeanza kufuatilia mpira lini?
Narudia mpira ni mbinu hakuna kelele zingine hapo .
Walitaman mpira uishe maana walikua tayar na ushindi mkononi
Ushawah fuatilia mbinu za morinyo akikutangulia goli Moja enzi za miaka ya nyuma kidogo akiwa Chelsea?
Ivi wakikuuliza Nan alishinda hiyo game utasema alishinda yanga au Simba.
Simba alicheza mpira kipindi Cha kwanza na hesabu ziamlipa ,yanga walicheza mpira kipindi Cha pili lakin hesab ziligoma kwahiyo mshindi ni mwenye magoli tu .
We ruka ruka uwanjan ila kinachoangaliwa ni magoli pekee
 
Inawezekana kabisa Kwa huu mpira wa bongo.
 
Ni kweli brother, kinacho tafutwa ni mshindi habari za sijui tumewatoa jasho mara walitamani mpira uishe hayana faida
 
Ungekua umeanza kufuatilia mpira zamani ungejua kwamba wadau wa mpira waliuita mpira wa Mourinho negative football
 
Ungekua umeanza kufuatilia mpira zamani ungejua kwamba wadau wa mpira waliuita mpira wa Mourinho negative football
Negative football lakin si ilimlipa?
Yaan uruke ruke uwanjan na possession 90 bila magoli hiyo ndio success kwenye football?
Mpira ungekua hivyo basi Ruvu shooting asingeshuka daraja maana kutandaza tu mpira ni mafundi haswa ila ishu ni kuweka mipira kimiani ndio shida na ndicho kimewashusha kwenye ligi kuu .
Kanuni ni moja tu ,ushindi unahesabika Kwa goli au magoli haijarish umeyapata vipi iwe Kwa penalt ,freeheader,
setpices
Possession bila magoli ni ushubwada tu.
 
Football is entertainment son..watu hawalipi kuingia uwanjani au tv kuangalia tu timu ikishinda, Mourinho alikua na mafanikio(ubingwa) awamu ya kwanza alipokua Chelsea lakini alitimuliwa,kwa nini!?..abrahmovic alimtaka acheze mpira mzuri Kama wa Wenger, Chelsea ilikua inashinda lakini nusu ya waliolipia tiketi hawaji uwanjani,abrahmovic alishamuihitaji Wenger Chelsea...mpira ni burudani,weka Hilo kwenye fuvu lako
 
Wewe dogo....Acha uzombi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ile nyomi ya watu waliohudhuria hiyo mechi ilikuwa siyo ya dunia hii! Halafu walikuwa na vibe la hatari.

Hivi walilipia kweli kiingilio!! Au ndiyo ilikuwa 'fungulia mbwa'!!!!
Mechi haikuwa na kiingilio Mkuu,Ilikuwa ni nguvu zako tu za kufika uwanjani na kuingia BUREEEE.
 
Sema mfumo wetu wa kipuuzi sana. Huyu Mbeya city ameshindwa kujitetea asishuke daraja kwa mechi zote za ligi kuu alaf bado anapewa nafasi nyingine tena ya playoff
Sasa kama wewe huwezi kumfunga aliyeshuka daraja kwa mechi za ligi kuu si na wewe utakuwa ni walewale ?
 
Sasa kama wewe huwezi kumfunga aliyeshuka daraja kwa mechi za ligi kuu si na wewe utakuwa ni walewale ?
Hii ndio maana yake, unapewa kilaza wa darasa unalo taka kwenda ufanye nae mtihani akikushinda huna haja ya kwenda huko utachemka tu
 
Mbeya city kwisha habar yake.
Tulitegema ushindani kumbe kapanda ili acheze play - off.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…