Ile nyomi ya watu waliohudhuria hiyo mechi ilikuwa siyo ya dunia hii! Halafu walikuwa na vibe la hatari.
Hivi walilipia kweli kiingilio!! Au ndiyo ilikuwa 'fungulia mbwa'!!!!
Jamaa walishangilia dakika zote za mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile nyomi ya watu waliohudhuria hiyo mechi ilikuwa siyo ya dunia hii! Halafu walikuwa na vibe la hatari.
Hivi walilipia kweli kiingilio!! Au ndiyo ilikuwa 'fungulia mbwa'!!!!
Uliona wachezaji waliokua benchi Simba walivyokua wanatamani mpira uishe!?Mpira ni mbinu ukizidiwa ndo imeisha hiyo.
Sasa kama ilikua timing why hao yanga hawakurudisha km walivyofanya Kwa Mbeya city?
Ukipigwa KO mchezo unqishia hapo hakuna Cha aliniotea mara alinivizia ,ww ulishindwa nn kuvizia?
ile game inasemwa walikua wanaendelea na mazungumzo ya kupanga matokeo, pesa alikua ameshika meneja wa mbeua city, walikua bado hawajakubaliana kiasi....Hao Mbeya city washuke tu .
Niliwadharau sana Ile game wamecheza na Yanga.
Niliona wazi hawana hadhi ya kubakia ligi kuu.
Timu IPO hatarin kushuka ikapata goli tatu bila ajabu ndani ya dakika 20 zikarudi zote[emoji706][emoji706][emoji706]
Ni timu ya nyumbani ila naombea ishuke inadharirisha mkoa wetu.
Wabaki prison na Ihefu inatosha.
Ajabu ikishapanda hilo nyomi halitaonekana tena, watu wanarudi simba na yangaIle nyomi ya watu waliohudhuria hiyo mechi ilikuwa siyo ya dunia hii! Halafu walikuwa na vibe la hatari.
Hivi walilipia kweli kiingilio!! Au ndiyo ilikuwa 'fungulia mbwa'!!!!
Umeanza kufuatilia mpira lini?Uliona wachezaji waliokua benchi Simba walivyokua wanatamani mpira uishe!?
Inawezekana kabisa Kwa huu mpira wa bongo.ile game inasemwa walikua wanaendelea na mazungumzo ya kupanga matokeo, pesa alikua ameshika meneja wa mbeua city, walikua bado hawajakubaliana kiasi....
sasa ilipofika half time, city wanaongoza 3-0, meneja wa city akapotea uwanjani na mzigo, na kufunga simu zake zote..... uto wakaona huu ujinga, wakaingiza full mkoko ndio game kuisha 3-3....
hii ndio story iko mtaani jijini mbeya,
Ni kweli brother, kinacho tafutwa ni mshindi habari za sijui tumewatoa jasho mara walitamani mpira uishe hayana faidaUmeanza kufuatilia mpira lini?
Narudia mpira ni mbinu hakuna kelele zingine hapo .
Walitaman mpira uishe maana walikua tayar na ushindi mkononi
Ushawah fuatilia mbinu za morinyo akikutangulia goli Moja enzi za miaka ya nyuma kidogo akiwa Chelsea?
Ivi wakikuuliza Nan alishinda hiyo game utasema alishinda yanga au Simba.
Simba alicheza mpira kipindi Cha kwanza na hesabu ziamlipa ,yanga walicheza mpira kipindi Cha pili lakin hesab ziligoma kwahiyo mshindi ni mwenye magoli tu .
We ruka ruka uwanjan ila kinachoangaliwa ni magoli pekee
Ungekua umeanza kufuatilia mpira zamani ungejua kwamba wadau wa mpira waliuita mpira wa Mourinho negative footballUmeanza kufuatilia mpira lini?
Narudia mpira ni mbinu hakuna kelele zingine hapo .
Walitaman mpira uishe maana walikua tayar na ushindi mkononi
Ushawah fuatilia mbinu za morinyo akikutangulia goli Moja enzi za miaka ya nyuma kidogo akiwa Chelsea?
Ivi wakikuuliza Nan alishinda hiyo game utasema alishinda yanga au Simba.
Simba alicheza mpira kipindi Cha kwanza na hesabu ziamlipa ,yanga walicheza mpira kipindi Cha pili lakin hesab ziligoma kwahiyo mshindi ni mwenye magoli tu .
We ruka ruka uwanjan ila kinachoangaliwa ni magoli pekee
Negative football lakin si ilimlipa?Ungekua umeanza kufuatilia mpira zamani ungejua kwamba wadau wa mpira waliuita mpira wa Mourinho negative football
Football is entertainment son..watu hawalipi kuingia uwanjani au tv kuangalia tu timu ikishinda, Mourinho alikua na mafanikio(ubingwa) awamu ya kwanza alipokua Chelsea lakini alitimuliwa,kwa nini!?..abrahmovic alimtaka acheze mpira mzuri Kama wa Wenger, Chelsea ilikua inashinda lakini nusu ya waliolipia tiketi hawaji uwanjani,abrahmovic alishamuihitaji Wenger Chelsea...mpira ni burudani,weka Hilo kwenye fuvu lakoNegative football lakin si ilimlipa?
Yaan uruke ruke uwanjan na possession 90 bila magoli hiyo ndio success kwenye football?
Mpira ungekua hivyo basi Ruvu shooting asingeshuka daraja maana kutandaza tu mpira ni mafundi haswa ila ishu ni kuweka mipira kimiani ndio shida na ndicho kimewashusha kwenye ligi kuu .
Kanuni ni moja tu ,ushindi unahesabika Kwa goli au magoli haijarish umeyapata vipi iwe Kwa penalt ,freeheader,
setpices
Possession bila magoli ni ushubwada tu.
Wewe dogo....Acha uzombiFootball is entertainment son..watu hawalipi kuingia uwanjani au tv kuangalia tu timu ikishinda, Mourinho alikua na mafanikio(ubingwa) awamu ya kwanza alipokua Chelsea lakini alitimuliwa,kwa nini!?..abrahmovic alimtaka acheze mpira mzuri Kama wa Wenger, Chelsea ilikua inashinda lakini nusu ya waliolipia tiketi hawaji uwanjani,abrahmovic alishamuihitaji Wenger Chelsea...mpira ni burudani,weka Hilo kwenye fuvu lako
Mechi haikuwa na kiingilio Mkuu,Ilikuwa ni nguvu zako tu za kufika uwanjani na kuingia BUREEEE.Ile nyomi ya watu waliohudhuria hiyo mechi ilikuwa siyo ya dunia hii! Halafu walikuwa na vibe la hatari.
Hivi walilipia kweli kiingilio!! Au ndiyo ilikuwa 'fungulia mbwa'!!!!
Kama waliingia bure, basi walitendea haki. Maana walijitokeza kwa wingi, halafu walishangilia mwanzo mwisho. Yaani walikuwa kama mashabiki wa Bundesiliga vile.Mechi haikuwa na kiingilio Mkuu,Ilikuwa ni nguvu zako tu za kufika uwanjani na kuingia BUREEEE.
Sasa kama wewe huwezi kumfunga aliyeshuka daraja kwa mechi za ligi kuu si na wewe utakuwa ni walewale ?Sema mfumo wetu wa kipuuzi sana. Huyu Mbeya city ameshindwa kujitetea asishuke daraja kwa mechi zote za ligi kuu alaf bado anapewa nafasi nyingine tena ya playoff
Hii ndio maana yake, unapewa kilaza wa darasa unalo taka kwenda ufanye nae mtihani akikushinda huna haja ya kwenda huko utachemka tuSasa kama wewe huwezi kumfunga aliyeshuka daraja kwa mechi za ligi kuu si na wewe utakuwa ni walewale ?
Hakukuwa na kiingilio.Ile nyomi ya watu waliohudhuria hiyo mechi ilikuwa siyo ya dunia hii! Halafu walikuwa na vibe la hatari.
Hivi walilipia kweli kiingilio!! Au ndiyo ilikuwa 'fungulia mbwa'!!!!