uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Nov 6, 2023 #1 Baada ya kupoteza kwa Azam goli 3 Leo tena mashujaa wamepigwa goli zingine tatu kutoka kwa Singida Big Stars. Mashabiki wamekiri kuwa team yao Sasa imepoteana.
Baada ya kupoteza kwa Azam goli 3 Leo tena mashujaa wamepigwa goli zingine tatu kutoka kwa Singida Big Stars. Mashabiki wamekiri kuwa team yao Sasa imepoteana.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Nov 6, 2023 #2 Mkataa kwao Mtumwa
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,658 Reaction score 8,994 Nov 6, 2023 #3 Ndumba zimeisha nguvu
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Nov 7, 2023 #4 Mpira kidogo Uchawi Mwingi.
B Bendanda JF-Expert Member Joined Jun 25, 2020 Posts 461 Reaction score 390 Nov 13, 2023 #5 Hakika sasa wamerudi kwenye kiwango chao, Msimu huu wanarudi walikotoka wasipoacha uchawi wao 🤣 🤣
I iyokichiku Member Joined Oct 30, 2023 Posts 36 Reaction score 70 Nov 13, 2023 #6 Hakuna Cha miujiza kwenye mpira wala hirizi Wala mha