Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
- Thread starter
- #101
Nilimsahau huyu mkuu. Kweli nchi ina watu wenye misisimamo yao.
prof assad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
prof assad
Wala hakufanya ushujaa...Kapoteza kazi bure,kichaa huwezi shindana nae wla huwezi kuwa shujaa kwa kushindana na kichaa,tena ana bahati angeuawa kabisaSirvacus Likwelile aliyekuwa Katibu Mkuu Hazina, alikataa ujinga wa kumpa Mwendazake hela bila kufuata taratibu za fedha kisha akamfukuza kazi
Kwani Jay jaydee nae alimchalleng vip jiweRoma mkatoliki, Ney wa Mitego, Jide Jaydee,
Prof Assad angeshughulika na mwenye akili timamu ningemuita shujaa sio kupambana na Mwendazake mgonjwa wa akili halafu tukuite shujaa, shujaa kwa kupambana na mgonjwa wa Mirembe?CAG Prof Assad huyu ni mwamba
Whoever supported the movement is a ShujaaKwani Jay jaydee nae alimchalleng vip jiwe
Mwamba haswaCAG Prof Assad huyu ni mwamba
Muongezee kwenye list ya watabeSirvacus Likwelile aliyekuwa Katibu Mkuu Hazina, alikataa ujinga wa kumpa Mwendazake hela bila kufuata taratibu za fedha kisha akamfukuza kazi
😃😃😃 Huyu jamaa nahisi anahasira Sana moyoni...kitendo kile hakikuwa Cha kiungwanaBaadae alikwenda kujisalimisha mbele ya Mwendazake pale Ikulu. Hata gari yake haikuruhusiwa kuingia Ikulu. Akashukia mbali kwenye geti, akatembea, huku watu wa Mwendazake wakimpiga picha ya video ili kuitoa baadae kwenye vyombo vya habari kwa namna ya kumdalilisha akijifuta jasho!
Missile of the Nation tuanzuishie uzi tujihesabu wale ambao tulipambana na Lumumba Buk 7 katika kumshambulia DIKTETA.
Ni vizuri tukatambuana na kujipa tuzo
Lissu ushujaa wake wote ila alikosa ushujaa wa kupinga kupewa fomu ya kugombea urais mtu aliyemwita fisadi.
OKW BOBAN SUNZU kiwanda cha kuzalisha ujasiri
Lakini na nyie mmempokea CCM,nani mjinga,kati ya waliompokea sasa hivi na walioachana nae baada ya kugundua makosa?
Lakini na nyie mmempokea CCM,nani mjinga,kati ya waliompokea sasa hivi na walioachana nae baada ya kugundua makosa?