Mashujaa wa kweli Tanzania hawakumuogopa Hayati Dkt. Magufuli

Sirvacus Likwelile aliyekuwa Katibu Mkuu Hazina, alikataa ujinga wa kumpa Mwendazake hela bila kufuata taratibu za fedha kisha akamfukuza kazi
Wala hakufanya ushujaa...Kapoteza kazi bure,kichaa huwezi shindana nae wla huwezi kuwa shujaa kwa kushindana na kichaa,tena ana bahati angeuawa kabisa
 
CAG Prof Assad huyu ni mwamba
Prof Assad angeshughulika na mwenye akili timamu ningemuita shujaa sio kupambana na Mwendazake mgonjwa wa akili halafu tukuite shujaa, shujaa kwa kupambana na mgonjwa wa Mirembe?
 
😃😃😃 Huyu jamaa nahisi anahasira Sana moyoni...kitendo kile hakikuwa Cha kiungwana
 
Ukiacha hao uliowataja MDUDE NYAGALI alikuwa ni soo katika kumpa za uso CHUMA.
 
Shujaa mwingine Ni yule askar magereeza kule mwanza cjui mbeya alimjibu jiwe kishujaa sna na akaamishwa kituo CYO iliyofata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…