GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Hahaaa mmeaza kumkataaa tena mapema tu hivi?aisee kichuya hapana,apumzike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa mmeaza kumkataaa tena mapema tu hivi?aisee kichuya hapana,apumzike
Usiilinganishe Yanga na vitimu vya ajabu ajabuMbona wa Yanga wakiingia ambao huwa hawachezi wanaipa Yanga matokeo bora.
leo sio tena mna kikosi kipana, imekuwa kocha hafaiHusika na kichwa cha habari hapo
Huyu kocha wa Simba ana dharau sana hawezi kutupangia kikosi cha kijinga kama kile. Hizo zote ni dharau kwa mfumo huu Simba hatutafika popote; ligi hatachukua na hata huko Africa tutatolewa mapema sana.
Kwa dharau ya leo tumeumia sana aisee tunachekwa sana. Kumbukeni Simba sio ya kwenu Simba ni ya washabiki, huyu kocha afukuzwe arudishwe kwao atuachie timu yetu wenyewe maana huu ujinga sasa. Wachezaji wote amewaacha anaanzisha wachezaji wa kijinga.
Wana Simba huyu kocha ana dharau na kibaya dharau sio nzuri katika mpira. Kikosi kipana hakuna pale tunataka kikosi cha kwanza kilichoiua Mkana ndo kicheze aisee.
Siyo Povu, najaribu kuwafunda hawa vijana wetu.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Si kwa povu hili
Ndiyo hapo unapokubaliana na hoja yangu kwamba si sahihi kuwasajili kwa pamoja wachezaji wenye uwezo sawa kwenye nafasi moja. Messi anatosha kuwa striker wa kwanza wa Barcelona, hatafutwi nyota mwengine mwenye uwezo kama wake kusajiliwa. Ndio maana, mathalan, Higuain akaondoka F C Milan ili kumpisha Christiano. Vingunevyo Higuain angebaki kuwa kama unavyomlaumu Salamba dhidi ya Kagere. Usitarajie, mathalan, kwamba Haji Mwinyi atakuza kiwango chake akiwa chini ya kivuli cha Gardiel Michael pale Yanga. Hilo ndio kosa la usajili wa Simba msimu huu. Usimtegemee Niyonzima kujaza viatu vya Chama, au Rashid Mohamed vya Okwi, au kama ulivyoona jana kwa Dida dhidi ya Manula. Simba imekusanya mchezaji zaidi ya mmoja mwenye uwezo mkubwa kwenye kila nafasi kwa kuamini kwamba yeyote atakayeingizwa ataendelea kuwa mzuri. Si hivyo. Usije ukashangaa kukuta huyu mzuri asiyecheza ndani ya Simba akaishia kuwa dhaifu kuliko yule dhaifu anayepata nafasi ya kucheza kwenye timu nyengine. Ndicho kilichoonekana jana dhidi ya Mashujaa. Ndio maana golikipa wa Mashujaa halaumiwi licha ya uanagenzi wake kama anavyolaumiwa Dida mzoefu (aliyekosa nafasi ya kucheza mara kwa mara).Kocha anaangalia, anayepaform vizuri mazoezini ndiye anayepangwa.
Huoni Messi wa Barcalona anacheza kila mechi.
Timu inapokuwa ktk kushindania ubingwa, mchezaji bora ndiye anayepangwa na sio kupanga kwa kuangalia zamu.
Cha msingi mchezaji akitaka kuanza kikosi cha kwanza ni lazima aoneshe kiwango bora ktk mazoezi.
Kagere anaanza kwakuwa tu anaweza na sio vinginevyo. Hata mechi ya Simba na Mashujaa, akina Ali Selemani hawakutakiwa kuanza.
Kocha alizingatia ubinadamu tu na kimemgharimu.
Akiendelea kupanga kwa kuzingatia zamu ya kutoa nafasi kwa wachezaji wote atafungwa na kupoteza kibarua chake.
Kila timu kuna wachezaji wanaokalia benchi.
Jonas Mkude alikalia benchi msimu mzima wa kocha Amog lakina alipoboresha kiwango chake akapata namba ya kudumu.
Tofauti na hao vijana wakipewa nafasi badala ya kujituma nakuwa makini ili waisaidie timu wanarukaruka tu.
Utaendeleaje kuwapanga katika mechi za ushindani katika kiwango hicho.
Hao uwezo wao ndio umeishia hapo ni swala la kuamua tu, tuwapende wao au mafanikio ya timu.
Kuna baadhi yao hapo wanaweza kujirekebisha siku za usoni, lakini hao akina Ali Selemani ni bora wagombee tu uongozi wa timu.
Unataka kikosi cha KWANZA KICHEZE BONANZA ukiumiza wachezaji tarehe 11.1.2019 unakutana na ESPERANCE,AL AHLY NA TP MAZEMBE unachezesha kikosi cha pili si eti?.hivi huwa mnafikiri kwa kutumia vitu gani?..Husika na kichwa cha habari hapo
Huyu kocha wa Simba ana dharau sana hawezi kutupangia kikosi cha kijinga kama kile. Hizo zote ni dharau kwa mfumo huu Simba hatutafika popote; ligi hatachukua na hata huko Africa tutatolewa mapema sana.
Kwa dharau ya leo tumeumia sana aisee tunachekwa sana. Kumbukeni Simba sio ya kwenu Simba ni ya washabiki, huyu kocha afukuzwe arudishwe kwao atuachie timu yetu wenyewe maana huu ujinga sasa. Wachezaji wote amewaacha anaanzisha wachezaji wa kijinga.
Wana Simba huyu kocha ana dharau na kibaya dharau sio nzuri katika mpira. Kikosi kipana hakuna pale tunataka kikosi cha kwanza kilichoiua Mkana ndo kicheze aisee.
[emoji23] [emoji23] [emoji115]*Simba kama Irene uwoya tuu kawakazia watu wazima kaolewa na dogo janja*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kama Shujaa Wewe!![emoji116]Hakuna kama Simba wewe!![emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 978292
Wacha weee. Ila pole.Nayo yashapita [emoji2]
[emoji23]tushapoaWacha weee. Ila pole.
Hahaha Mkuu DeepPond hatuwezi umiza wachezaji wetu kwa kikosi kilichotoka Kigoma,wakati tarehe 11 January, tunaanza kukimbizana na miamba hii ya soka,ni uendawazimuHakuna kama Shujaa Wewe!![emoji116] View attachment 978558
Lakn mkuu, mbona hao wa kikos A wanaeza umia tu hata mazoezn!!? Mf. Mkude na Dante waliumia mazoezn wakawakosa Lesotho (mnirekebishe kama nmevuruga kumbkumb)Unataka kikosi cha KWANZA KICHEZE BONANZA ukiumiza wachezaji tarehe 11.1.2019 unakutana na ESPERANCE,AL AHLY NA TP MAZEMBE unachezesha kikosi cha pili si eti?.hivi huwa mnafikiri kwa kutumia vitu gani?..
Hata kikosi cha kwanza cha Simba kwa sasa sio kizuri na hii inatikana na kocha tuliyenae.Husika na kichwa cha habari hapo
Huyu kocha wa Simba ana dharau sana hawezi kutupangia kikosi cha kijinga kama kile. Hizo zote ni dharau kwa mfumo huu Simba hatutafika popote; ligi hatachukua na hata huko Africa tutatolewa mapema sana.
Kwa dharau ya leo tumeumia sana aisee tunachekwa sana. Kumbukeni Simba sio ya kwenu Simba ni ya washabiki, huyu kocha afukuzwe arudishwe kwao atuachie timu yetu wenyewe maana huu ujinga sasa. Wachezaji wote amewaacha anaanzisha wachezaji wa kijinga.
Wana Simba huyu kocha ana dharau na kibaya dharau sio nzuri katika mpira. Kikosi kipana hakuna pale tunataka kikosi cha kwanza kilichoiua Mkana ndo kicheze aisee.
Mkuu kwa hatua Simba ilipo sasa hivi sio wa kuwaza mechi hizo(hadi hapa tulipo tuna Billion 1.2,) tukikomaa tu na makundi vizuri tukawa wa pili kwenye kundi tunapata Billion 2.1,hata tukiishia hapo.Hadi hapo huoni ni mashindano yapo tunapaswa kuweka nguvu zaidi?.Mtibwa ndiye bingwa mtetezi wa mashindano hayo na hadi naandika hapa HAJALIPWA hata sent 5,kwanini tusikomae na EPL & Kilabu Bingwa?.Lakn mkuu, mbona hao wa kikos A wanaeza umia tu hata mazoezn!!? Mf. Mkude na Dante waliumia mazoezn wakawakosa Lesotho (mnirekebishe kama nmevuruga kumbkumb)
Kitakacho wanyima Simba ubingwa ni ratiba mbovu na mlindikano wa mechi watalazimika kucheza back to back na sio kikosi Chao Simba wanna kikosi kizuri kuliko Yanga na AzamHata kikosi cha kwanza cha Simba kwa sasa sio kizuri na hii inatikana na kocha tuliyenae.
Ukitaka kujua kocha mzuri ni kwenye upangaji time na subs. Jamaa uwezo wake ni mdogo sana na believe me ubingwa mwaka huu tutausikilizia redioni
Mpira unaujuaSio kwa kupaisha mipira huko,
Rashidi Juma akifika golini anapiga mpira nje.
Ndemla naye anapaisha mipira yake yote.
Salamba ndio alikuwa wa kwanza kipiga mpira juu ya goli.
Kichuya ndio kabisa hata kross anapaisha.
Jamani hivi ndivyo mnavyojifunza mazoezini, mnapaisha hata faulo?
Kila siku mpo mazoezini kwani mnajifunza nini, mbona mnapaisha sana mipira, hamjifunzi kupiga mashuti huku unakimbia na kulenga goli ?
Kama kocha hakufundishi kwanini usijifunze peke yako, kwamba unadrible mpira na unapiga kulenga goli, tena kwa faida yako.
Katika kikosi kilichoanza anayeweza kuangaliwa tena ni
Juuko Murshid, Salamba na Ndemla basi.
Wengine wote hawana kiwango cha kuichezea Simba ya Sasa hivi,
kama wataendelea kubweteka wakisubiri kocha awape mazoezi hata ya kulenga goli.
Mkuu kwa hatua Simba ilipo sasa hivi sio wa kuwaza mechi hizo(hadi hapa tulipo tuna Billion 1.2,) tukikomaa tu na makundi vizuri tukawa wa pili kwenye kundi tunapata Billion 2.1,hata tukiishia hapo.Hadi hapo huoni ni mashindano yapo tunapaswa kuweka nguvu zaidi?.Mtibwa ndiye bingwa mtetezi wa mashindano hayo na hadi naandika hapa HAJALIPWA hata sent 5,kwanini tusikomae na EPL & Kilabu Bingwa?.
Note;Simba haijazidiwa uwezo na Mashujaa kutolewa,imejitoa kimkakati tu,
Rejea;
*Maneno ya Manara kabla ya mechi
*Goli la Dida alilofungwa(angalia reaction yake)