Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mhubiri 9:11Hongera sana kwao,ila afande Majaliwa upepo umembeba anaonekana yeye tu ndo Anold Shoz Niga.
Warembo kweli kweli,Mungu atawazidishia
AminaWarembo kweli kweli,Mungu atawazidishia
Taratibu ukweli na uongo vitajitenga kuhusiana na ajari hii.View attachment 2416306
Brenda na Lydia walikuwa ni wahudumu wa ndege ya Precision iliyopata ajali ziwani kule Bukoba
Na Ukweli utasimama Tena wakati huo wale waongo wakuu wakiwa bado hai.Taratibu ukweli na uongo vitajitenga kuhusiana na ajari hii.
Nimemuona majaliwa anapiga kinana huku anaserebuka muziki, dogo anakula maisha huku mashujaa wakiwa wamesahaulika kabisaView attachment 2416306
Brenda na Lydia walikuwa ni wahudumu wa ndege ya Precision iliyopata ajali ziwani kule Bukoba.
Mabinti hawa warembo ni kama mchango haupo au ni kidogo sana, lakini ni hawa ndio walio watuliza akili abiria waliokuwa katika taharuki kubwa, ni hawa ndio waliogawa life jackets, na pia ni hawa ndio kwa kushirikiana na Majaliwa waliweza kufungua mlango.
Licha ya kwamba hawa walikuwa kazini lakini hakika waliifanya kazi yao kwa weledi mkubwa sana, hivyo basi wanastahili kuheshimiwa na kutambulika rasmi kama mashujaa wa taifa.
Kama ilivyokuwa kwa akina MIA TISA ITAFAA na PIEREmsanii pekee anayejulikana na mondi kimziki .muacheni majaliwa mda wake na mandonga
Hakika ilinenwa! Majaliwa kwa manufaa ya nani? Ccm wanajua!Mhubiri 9:11
[11]Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
I returned, and saw under the sun, that the race is not to the swift, nor the battle to the strong, neither yet bread to the wise, nor yet riches to men of understanding, nor yet favour to men of skill; but time and chance happeneth to them all.
Mshana Jr nadhani umepata jibu kwenye nyekundu. Mhe. Bujibuji Simba Nyamaume kumbuka ukifanya kitu ambacho unalipwa kukifanya, unatimiza wajibu wako. Majaliwa hakuwa na wajibu wa kufungua huo mlango ila mabinti hao wawili warembo kama Antonnia walikuwa kazini!!!!View attachment 2416306
Brenda na Lydia walikuwa ni wahudumu wa ndege ya Precision iliyopata ajali ziwani kule Bukoba.
Mabinti hawa warembo ni kama mchango haupo au ni kidogo sana, lakini ni hawa ndio walio watuliza akili abiria waliokuwa katika taharuki kubwa, ni hawa ndio waliogawa life jackets, na pia ni hawa ndio kwa kushirikiana na Majaliwa waliweza kufungua mlango.
Licha ya kwamba hawa walikuwa kazini lakini hakika waliifanya kazi yao kwa weledi mkubwa sana, hivyo basi wanastahili kuheshimiwa na kutambulika rasmi kama mashujaa wa taifa.
Kuna nini?? π³π³ Hebu nipe samare nieleweMshana Jr nadhani umepata jibu kwenye nyekundu. Mhe. Bujibuji Simba Nyamaume kumbuka ukifanya kitu ambacho unalipwa kukifanya, unatimiza wajibu wako. Majaliwa hakuwa na wajibu wa kufungua huo mlango ila mabinti hao wawili warembo kama Antonnia walikuwa kazini!!!!
Ngoja nimueleze mtoto wangu Brian alete mmoja kati ya hao awe mkwe wangu wanafaa sana kuingia kwenye familia
Ni kweliMshana Jr nadhani umepata jibu kwenye nyekundu. Mhe. Bujibuji Simba Nyamaume kumbuka ukifanya kitu ambacho unalipwa kukifanya, unatimiza wajibu wako. Majaliwa hakuwa na wajibu wa kufungua huo mlango ila mabinti hao wawili warembo kama Antonnia walikuwa kazini!!!!