Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Kama ada, karibuni katika uzi huu tukumbushane kuhusu kikosi hiki cha Timu ya Taifa ya Italy iliyotwaa kombe la Dunia mwaka 2006 kwa kumfunga hasimu wake Ufaransa kwa matuta,
Unakumbuka nini na wapi kuhusu kikosi hiki? Mastaa gani uliwakubali katika kikosi hiki?
Karibuni wakuu tukumbushane matukio mawili matatu...
Namkumbua Zenedin Zidan alivyogawa dozi ya kichwa siku ya fainali baada kutukanwa.
cc;
Guasa Amboni King Ngwaba Mussolin5
Swadakta kun nae yupo hapo tena palikuwa na unganiko pana bint wa maradona alipata kuwa wa ubavu wa kun aguero sijui kama bado wapo pamoja.sawasawa mkuu, kwa washambuliaji ongeza na Sergio Kun Aguero
walishatemana nadhani.Swadakta kun nae yupo hapo tena palikuwa na unganiko pana bint wa maradona alipata kuwa wa ubavu wa kun aguero sijui kama bado wapo pamoja.
Ok tukirudi kwa vimo nimemkumbuka jorge compos wa Mexico omar mahadhi bin jabir pia hata juma kaseja anaingia hapa. Ni vipawa wanavyokuwa wametunukia na kuonyesha vimo waqt mwingine havisaidii kama huna kipaji.walishatemana nadhani.
Hii game haukufika xtra time grosso na del piero walimaliza game dkk 88naikumbuka nusu fainali italy vs germany mjini dortumund... game ilikuwa kali balaa
kuna mchambuzi wa supersports.. akatania alisema.. mechi kama ile ilivyo na kasi.. ukimuweka mchezaji wa ligi kuu ya south africa anaweza akafa kwa spidi... game iko extra time ila watu wanashambuliana na spidi kama mechi ndio imeanza upya
Hii game haukufika xtra time grosso na del piero walimaliza game dkk 88
Mkuu rekodi zako hazipo sawa, tazama upya!!Hii game haukufika xtra time grosso na del piero walimaliza game dkk 88
Uko sahihi mkuumkuu hata kugoogle umeshindwa...
game ilienda 0-0 kwa dakika 90.. extra time half time ya kwanza italy waligongesha miamba mara 2.. moja ni shuti la zambrotta nje ya box, ya pili ni gerladinho iligonga mwamba wa kulia,,,
extra time ya pili dakika ya 118 grosso ndio anafunga goli la kwanzaa.. wakati huo ujerumani walijua game inaenda penalti.. baada ya kufungwa ujerumani wakapanic na kuanza kushambulia wote kwa fujo ili warudishe goli.. ndipo wakapigwa counter na gerladinho pamoja na del piero likafungwa goli la pili dakika ya 120.. na baada ya hilo goli ujerumani wakakaaa chini wachezaji karibu wote kujua hawana ujanja.. na referee akamaliza mpira.
kama bado unabisha.. bishana na bbc link hiyo
BBC SPORT | Football | World Cup 2006 | Last-gasp Italy knock Germany out
Stunning late extra-time strikes from Fabio Grosso and Alessandro del Piero took Italy into the World Cup final at Germany's expense with a 2-0 win.
An absorbing semi-final seemed set for penalties until Grosso curled man of the match Andrea Pirlo's pass past Jens Lehmann with just one minute left.
Del Piero then finished an Italy break with a delicate chip into the corner.
Epl kuna Hugo Lloris.....zamani Shay Given ni makipa wafupiOk tukirudi kwa vimo nimemkumbuka jorge compos wa Mexico omar mahadhi bin jabir pia hata juma kaseja anaingia hapa. Ni vipawa wanavyokuwa wametunukia na kuonyesha vimo waqt mwingine havisaidii kama huna kipaji.
Jose Roberto gama de oliviera (bebeto )huyu alikuwa mbrazil mara ya mwisho alishiriki kuipatia kombe nchi yake mwaka wa 1994 aliibuka na mtindo wake akicheka na nyavu anakuwa anapepeta mikono yake ishara ya kubembeleza mtoto ambapo mkewe alijifungua waqt wa mashindano hayo . Kikosi hicho golie taffarel kule chama cha wananchi (cafu)pale kati marcio Santos mkoba huo ulimgeuza baggio penye sita kati kapteni dunga huko mbele sasa akina mauro silva akina sudi na masudi (zinho na mazinho )Romario de sauza ilikuwa khatari sana.Mimi nakumbuka ile Italy ya kina Bebeto
Duh! Bebeto?Mimi nakumbuka ile Italy ya kina Bebeto
Nafikiri utakua unamaanisha Roberto Baggio kile cha WC 94Mimi nakumbuka ile Italy ya kina Bebeto
Bebeto hakuwahi kuchezea ItaliaMimi nakumbuka ile Italy ya kina Bebeto
Nakuunga mkono mkuu. Mechi ile kama si juhudi za refa kuwapa Italy tuta dakika za lala salama, australia walikuwa wanaenda kushinda.Italy walibebwa vs Australia
Wote weupe hamna ngozi nyeusiKama ada, karibuni katika uzi huu tukumbushane kuhusu kikosi hiki cha Timu ya Taifa ya Italy iliyotwaa kombe la Dunia mwaka 2006 kwa kumfunga hasimu wake Ufaransa kwa matuta,
Unakumbuka nini na wapi kuhusu kikosi hiki? Mastaa gani uliwakubali katika kikosi hiki?
Karibuni wakuu tukumbushane matukio mawili matatu...
cc;
Guasa Amboni King Ngwaba Mussolin5
Ujerumani hawatamsahau MtalianoNinakumbuka mtu alivyonyanyuliwa na kichwa na Nahodha wa Ufaransa.
Bebeto Alikuwa MbrazilMimi nakumbuka ile Italy ya kina Bebeto