Mashujaa wasioimbwa: Unaikumbuka Italy iliyotwaa Kombe la Dunia 2006

Kama ada, karibuni katika uzi huu tukumbushane kuhusu kikosi hiki cha Timu ya Taifa ya Italy iliyotwaa kombe la Dunia mwaka 2006 kwa kumfunga hasimu wake Ufaransa kwa matuta,
Unakumbuka nini na wapi kuhusu kikosi hiki? Mastaa gani uliwakubali katika kikosi hiki?
Karibuni wakuu tukumbushane matukio mawili matatu...

Namkumbua Zenedin Zidan alivyogawa dozi ya kichwa siku ya fainali baada kutukanwa.
Italy-2006-World-Cup-winning-squad.jpg

cc;
Guasa Amboni King Ngwaba Mussolin5
 
naikumbuka nusu fainali italy vs germany mjini dortumund... game ilikuwa kali balaa

kuna mchambuzi wa supersports.. akatania alisema.. mechi kama ile ilivyo na kasi.. ukimuweka mchezaji wa ligi kuu ya south africa anaweza akafa kwa spidi... game iko extra time ila watu wanashambuliana na spidi kama mechi ndio imeanza upya
Hii game haukufika xtra time grosso na del piero walimaliza game dkk 88
 
mkuu hata kugoogle umeshindwa...

game ilienda 0-0 kwa dakika 90.. extra time half time ya kwanza italy waligongesha miamba mara 2.. moja ni shuti la zambrotta nje ya box, ya pili ni gerladinho iligonga mwamba wa kulia,,,

extra time ya pili dakika ya 118 grosso ndio anafunga goli la kwanzaa.. wakati huo ujerumani walijua game inaenda penalti.. baada ya kufungwa ujerumani wakapanic na kuanza kushambulia wote kwa fujo ili warudishe goli.. ndipo wakapigwa counter na gerladinho pamoja na del piero likafungwa goli la pili dakika ya 120.. na baada ya hilo goli ujerumani wakakaaa chini wachezaji karibu wote kujua hawana ujanja.. na referee akamaliza mpira.

kama bado unabisha.. bishana na bbc link hiyo

BBC SPORT | Football | World Cup 2006 | Last-gasp Italy knock Germany out

Stunning late extra-time strikes from Fabio Grosso and Alessandro del Piero took Italy into the World Cup final at Germany's expense with a 2-0 win.

An absorbing semi-final seemed set for penalties until Grosso curled man of the match Andrea Pirlo's pass past Jens Lehmann with just one minute left.

Del Piero then finished an Italy break with a delicate chip into the corner.

Uko sahihi mkuu
 
Ok tukirudi kwa vimo nimemkumbuka jorge compos wa Mexico omar mahadhi bin jabir pia hata juma kaseja anaingia hapa. Ni vipawa wanavyokuwa wametunukia na kuonyesha vimo waqt mwingine havisaidii kama huna kipaji.
Epl kuna Hugo Lloris.....zamani Shay Given ni makipa wafupi
 
Mimi nakumbuka ile Italy ya kina Bebeto
Jose Roberto gama de oliviera (bebeto )huyu alikuwa mbrazil mara ya mwisho alishiriki kuipatia kombe nchi yake mwaka wa 1994 aliibuka na mtindo wake akicheka na nyavu anakuwa anapepeta mikono yake ishara ya kubembeleza mtoto ambapo mkewe alijifungua waqt wa mashindano hayo . Kikosi hicho golie taffarel kule chama cha wananchi (cafu)pale kati marcio Santos mkoba huo ulimgeuza baggio penye sita kati kapteni dunga huko mbele sasa akina mauro silva akina sudi na masudi (zinho na mazinho )Romario de sauza ilikuwa khatari sana.
 
Italy walibebwa vs Australia
Nakuunga mkono mkuu. Mechi ile kama si juhudi za refa kuwapa Italy tuta dakika za lala salama, australia walikuwa wanaenda kushinda.

Bahati mbaya kwa Australia refa akatoa tuta dakika za salama huku mpigaji akiwa El capitano de la Roma, Fransisco Totti.
Inatokea mara chache sana katika nyakati muhimu kama hizo Totti akukose kwenye mkwaju wa penati.
 
Kama ada, karibuni katika uzi huu tukumbushane kuhusu kikosi hiki cha Timu ya Taifa ya Italy iliyotwaa kombe la Dunia mwaka 2006 kwa kumfunga hasimu wake Ufaransa kwa matuta,
Unakumbuka nini na wapi kuhusu kikosi hiki? Mastaa gani uliwakubali katika kikosi hiki?
Karibuni wakuu tukumbushane matukio mawili matatu...
Italy-2006-World-Cup-winning-squad.jpg

cc;
Guasa Amboni King Ngwaba Mussolin5
Wote weupe hamna ngozi nyeusi
 
Back
Top Bottom