Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaona umetoa bonge la point hivi unafikiri hata hiyo Artificial intelligence walioigundua hawa ku copy kutoka watangulizi wao?Chief mkwawa atasaidia nini katika evolution ya Artificial intelligence??
Artificial Intelligence ni new invention from this era. Kabla ya hapo ilikuwa myths tu kwenye movie. Alafu achana na huo msemo "kutawaliwa kifikra." Ni too cliché. Hakuna mtu kutawala fikra zako isipokuwa ujinga.unaona umetoa bonge la point hivi unafikiri hata hiyo Artificial intelligence walioigundua hawa ku copy kutoka watangulizi wao?
Ndio maana waafrica tutawaliwa kifikra hadi mwisho wa dunia
Mashujaa wa kitu gani?Nataka Kujua mashujaa wa kipindi cha nyuma kama kina chifu mkwawa bado wana somwa kweli mtaala wa elimu wa sasa?
Kutawaliwa kifikra si ndio huku mtoto kumezeshwa historia ya Mkwawa ambayo haina impact yoyote kwenye maisha haya na mbaya zaidi historia yenyewe imepindishwa inauongo kibao.unaona umetoa bonge la point hivi unafikiri hata hiyo Artificial intelligence walioigundua hawa ku copy kutoka watangulizi wao?
Ndio maana waafrica tutawaliwa kifikra hadi mwisho wa dunia