Mashule binafsi kuweni na huruma licha ya changamoto zenu kwenye biashara

Mashule binafsi kuweni na huruma licha ya changamoto zenu kwenye biashara

minyoo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
23,510
Reaction score
22,529
Watoto waliochelewa kumalizia Ada kidogo ingwe ya mwisho wa mwaka kwenye mashule ya binafsi kutokana na ule mtikisiko wa corona huenda wakaenda kukosa kufanya mitihani kuanzia kesho Jumatatu kutokana na wenye shule binafsi kupanga kuwazuia kufanya mitihani.

Serikali tukufu Serikali ya vitu badala ya watu inaonaje hili au watasema wazazi wasiokuwa na Ada wachukue kadi za CCM kwanza ndipo Waziri wa Elimu atawaomba wenye mashule binafsi kuacha kufanya unyama huo wapate kuvumilia walipwe pesa zao baadae huku watoto waendelee kufanya mitihani bila kikwazo.

CCM ya mtukufu Mwenyekiti Polepole na Bashiru hili mnalonaje je?ccm hamuwezi kuwalipia Ada ingawa muda huu pesa ipo lakini mnaona ubahili kuwasaidia wanyonge au mpaka watoto wafukuzwe shule kwanza ndipo mjidai kuwa na huruma baadae?

Wapenda Taaluma wapenda Elimu tuliangalie hili kwa jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom