Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

Watu hawataki kuwajibika kwenye nafasi zao.
 
Ndugu hapa wanafunzi hawawezi kukwepa lawama kwasababu ni watumiaji wa hivi vyoo. Lawama kuu zinaenda kwa uongozi wa chuo, ikifuatiwa na serikali inayotakiwa kusimamia.
Lawama inakwendaje kwa chuo wakati hao wanafunzi wana miliki serikali yao na vyuo vingine Rais anapewa hadi gari huongozi hauna kosa hao wanafunzi ndio wanamakosa
 
Lawama inakwendaje kwa chuo wakati hao wanafunzi wana miliki serikali yao na vyuo vingine Rais anapewa hadi gari huongozi hauna kosa hao wanafunzi ndio wanamakosa
Aliyeanzisha chuo ni uongozi wa wanafunzi? Umeanzisha chuo unashindwa vipi kukisimamia? Hata hao viongozi wa wanafunzi wamewekwa na wenye chuo na wanapolala ni tofauti na wanafuzi wengine.
 
Duh nchi hii tuna safari ndefu sana. Imagine watu hata basic hygiene hawawezi ku-control mambo makubwa itakuwaje?
Nakazia

Hao Ndiyo Wasomi Wetu Hawezi Kudhibiti Kunguni, Hawawezi Kuosha Vyoo
Ukiwaona Street Wapo Na Ujuaji Tele Kumbe Usiku Ni Chakula Cha KKunguni

Baba Jesca Alisema Viongozi Wapo
YULE Mtaalam Kule Mtwara Aliambiwa Huko US Ulikuwa Unaosha Masufuria
 
Aliyeanzisha chuo ni uongozi wa wanafunzi? Umeanzisha chuo unashindwa vipi kukisimamia? Hata hao viongozi wa wanafunzi wamewekwa na wenye chuo na wanapolala ni tofauti na wanafuzi wengine.
Uongozi wawa wanafunzi hawana kazi
 
Dah....madhara yake Ni nini? ....mnatuchanganya tu....kule mwingine anatushauri tunywe mkojo wa asubuhi kwa sababu za kiafya.....mbinguni mtapasikia tu ....🤣🤣🤣🤣🤣
 
Udom na Udsm hawajapitwa na janga la kunguni. Wasomi wetu hawa.
Viongozi wa Udom wanakuambia "kunguni wapo na wataendelea kuwepo. Wanaolalamikia kunguni wanataka kutuharibia biashara." Ndio maana nchi haiendelei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…